Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
ahahaa kwali alikuwa amepotelea wapi mpaka akaenda kuumuka kama ugali wa mama ntilie wenye hamira?Haahaa nilikutana naye somewhere katikat y mji amenenepeana kama tembo kitambi kama ana mimba ya kujifungua honest nilijiuliza ilikuaje nikawa na kituko kama kile those days aaarrghhhhhh tho alikua hajaumuka hvyo
Hakuamini nilivyokimbilia daladala