Tupigeni story yoyote

Haahaa nilikutana naye somewhere katikat y mji amenenepeana kama tembo kitambi kama ana mimba ya kujifungua honest nilijiuliza ilikuaje nikawa na kituko kama kile those days aaarrghhhhhh tho alikua hajaumuka hvyo
Hakuamini nilivyokimbilia daladala
ahahaa kwali alikuwa amepotelea wapi mpaka akaenda kuumuka kama ugali wa mama ntilie wenye hamira?
 
Nilivaa saaaaaaaana, mpaka viatu vya chachacha, shule ya msingi, enzi za kubeba kuni sijui tofali kwaajili ya ujenzi wa jiko la mwalimu
Hahahha eti jiko la mwl
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…