Tupigeni story yoyote

Haahaa nilikutana naye somewhere katikat y mji amenenepeana kama tembo kitambi kama ana mimba ya kujifungua honest nilijiuliza ilikuaje nikawa na kituko kama kile those days aaarrghhhhhh tho alikua hajaumuka hvyo
Hakuamini nilivyokimbilia daladala

Hahahaaaa! Eti ukakimbilia daladala!!
 
Haahaa nilikutana naye somewhere katikat y mji amenenepeana kama tembo kitambi kama ana mimba ya kujifungua honest nilijiuliza ilikuaje nikawa na kituko kama kile those days aaarrghhhhhh tho alikua hajaumuka hvyo
Hakuamini nilivyokimbilia daladala
Kama bf wa sas yupo humu basi hii story umetuzuga
 
Hahaha hapo ndio penyewe shostito watu wanasemaga wakikutana na ma ex wao wanaweza kumbushia ila mm my first boyfriend mmmhh no no no sitaman hata kukutana naye hhaha

Kwanini hutamani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…