Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tatzo multiple ID swali unalonihoji na Miss Natafuta yote sawaMbona mapema hvyo
Haahaa nilikutana naye somewhere katikat y mji amenenepeana kama tembo kitambi kama ana mimba ya kujifungua honest nilijiuliza ilikuaje nikawa na kituko kama kile those days aaarrghhhhhh tho alikua hajaumuka hvyo
Hakuamini nilivyokimbilia daladala
Haha we r different sweetlove,labda tuna somethings in common loltatzo multiple ID swali unalonihoji na Miss Natafuta yote sawa
Hadi kero kila sekunde zinaingiaSipati notification direct from my app mpk niingie kwenye website yaan ndio nazid kua bored!nyie mnapata notification kawaida?
Kama bf wa sas yupo humu basi hii story umetuzugaHaahaa nilikutana naye somewhere katikat y mji amenenepeana kama tembo kitambi kama ana mimba ya kujifungua honest nilijiuliza ilikuaje nikawa na kituko kama kile those days aaarrghhhhhh tho alikua hajaumuka hvyo
Hakuamini nilivyokimbilia daladala
Wew mbona umekomaa na chupi za watu unataka kujua idadiulikuwaga na chupi ngapi maana najua wavulana wengi walikuwa hawanaga chupi
Haya mama ila marufuku kuongea na wanaume wingine nikiwa sipoHaha we r different sweetlove,labda tuna somethings in common lol
WEKA PICHA MKUU.Yaan naona niko bored,njoeni basi online tupige story yoyote ile!
Karibuni
Hahaha hapo ndio penyewe shostito watu wanasemaga wakikutana na ma ex wao wanaweza kumbushia ila mm my first boyfriend mmmhh no no no sitaman hata kukutana naye hhaha
Fundi tya02 upo?Wanasemaga hvyo
Wanasemaga hvyo
Haahaha simtamani maana ****ya kale hayanuki hata uyachokonoe