Mama Confidence
Senior Member
- Sep 5, 2016
- 172
- 144
Teh teh tehWanajali na kujua thamani ya mpenzi/mke
Kafanyaje huyo msukuma?
Nae eti amemuumiza mtu khaaa hata sio kawaida ya hawa ndugu zangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teh teh tehWanajali na kujua thamani ya mpenzi/mke
Kafanyaje huyo msukuma?
V.I.P aaahNi zile chupi za V. I. P au?
Mambo SamboVee mshaka wa kuu Valee
Usingizi ukanibaka gafla.... Umeamkaje?Haya mama. Nikutakie usiku mwema.
Nipe ridhaa ya kukuota.
Ndugu zako sikuhizi sijui wamekuwaje! Wanapunguza sifa za kisukuma banaTeh teh teh
Nae eti amemuumiza mtu khaaa hata sio kawaida ya hawa ndugu zangu
Usingizi ukanibaka gafla.... Umeamkaje?
Usingizi ulikua mzito sana... Japo niliota maruweruwe gani sikumbuki.Morning beautiful.
How was your sleep?
Usingizi ulikua mzito sana... Japo niliota maruweruwe gani sikumbuki.
Sikumbuki vizuri, ila kwa mbali kama nimemuota member wahumu eti tumeonana halafu nikawa namgombeza namwambia wewe ukiwa Jf unajionaga sana. Sijui ni nini bana wayiiiHukumbuki ndoto uliyoota?
Sikumbuki vizuri, ila kwa mbali kama nimemuota member wahumu eti tumeonana halafu nikawa namgombeza namwambia wewe ukiwa Jf unajionaga sana. Sijui ni nini bana wayiii
Ha haa yule hanisumbui hata... Ila nikionana nae ngumi za kifuani na mateke vitamuhusu tehYule aliekuambia 'you are not my type' bado anakusumbua kichwa?
Ha haa yule hanisumbui hata... Ila nikionana nae ngumi za kifuani na mateke vitamuhusu teh
Hapana... Natamani nimuone nimng'ate japo mgongoni[emoji85]Ulishawahi onana naye kabla ya hapo?
Poa Tinah, kwatreka kudhuMambo Sambo
Uwiii umeniacha hapo mwenzioPoa Tinah, kwatreka kudhu
[emoji23] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Uwiii umeniacha hapo mwenzio
Hapana... Natamani nimuone nimng'ate japo mgongoni[emoji85]
Kwakweli umenipoteza[emoji23] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Kwatreka kudhu- umepotea mazima,
Huko sipagusi atanifanya nibadili gia angani gaflaSio umng'ate kwenye nanihiu? Ili aumie vizuri.
Huko sipagusi atanifanya nibadili gia angani gafla