Tupike maandazi mazuri ya maziwa

Tupike maandazi mazuri ya maziwa

Aisee, uko vizuri...bahati mbaya Mimi binafsi Sina muda mzuri wa kufanya hayo yote, ndio maana mungu kanipa watu wa kufanya yote hayo. Ikiwa Mimi naandaa mipango ya noti na wao wakipika hakuna shida kabisa. Sema kazi nzuri sana hiyo.
Shukran sana
 
Sema kupika product za ngano ndo sijawahi tamani ila huko kwingine mkuu tuko pamoja sana siku ntaleta michemsho humu,ipo siku.

Kwenye ngano hapana,na hv ndo nataka ziacha kabisa zitumia sidhan kama ntakuja hangaika jifunza upsh wa ngano
 
Sema kupika product za ngano ndo sijawahi tamani ila huko kwingine mkuu tuko pamoja sana siku ntaleta michemsho humu,ipo siku.

Kwenye ngano hapana,na hv ndo nataka ziacha kabisa zitumia sidhan kama ntakuja hangaika jifunza upsh wa ngano
Jifunze mapishi ya ngano yapo tofauti
 
Hell

Nimekimbia mbio kwenda likizo nilipofika home nikaona niwaandalie maandazi kuepuka kuchomoana hela ya vitafuno morng

So nikaanda unga wa ngano wa PPF kisha hamira, sukari, sodabik, barking powerd na irick

Nilianza na kuchekecha unga wa ngano na kuweka sukari pamoja na sodabik na barnking powerd na maziwa nikiwa naweka polepole kisha nikaanza kukanda

View attachment 3414786
Kanda mpaka pale ngano itakapo acha kushika mkononi ngano yako isiwe ngumu iwe lain
View attachment 3414787
Kisha acha ya ngano iumuke ila mimi sifanyi ivyo uwa nayakata kisha ndio yakianza kuumuka ndio na ya choma moja kwa moja
View attachment 3414789

View attachment 3414792
Unaona haya ndio maamdazi nilio yatengeneza ni mazuri sana karibuni kujifunza
View attachment 3414794
Ukianza kuchoma usiweke moto mkali sana
Interesting..
 
Napenda Sana maandazi ya maziwa na hiriki halafu Yalale!!
Abarikiwe aliyekulea katukuzia Pure husband material!!
 
Safi sana mkuu,,,,, naona umekaa zako chini umerelax unakanda unga bila pressure,,,,utaoa kweli ,? 😃 😀 😄
 
Back
Top Bottom