Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
- Thread starter
-
- #81
Shukran sanaAisee, uko vizuri...bahati mbaya Mimi binafsi Sina muda mzuri wa kufanya hayo yote, ndio maana mungu kanipa watu wa kufanya yote hayo. Ikiwa Mimi naandaa mipango ya noti na wao wakipika hakuna shida kabisa. Sema kazi nzuri sana hiyo.
Nakupa bure kabisa wala usiwaze kuhusu mahariππ nipe mzee ππ
Imekaa poa kabisa iyooNakupa bure kabisa wala usiwaze kuhusu mahari
Jifunze mapishi ya ngano yapo tofautiSema kupika product za ngano ndo sijawahi tamani ila huko kwingine mkuu tuko pamoja sana siku ntaleta michemsho humu,ipo siku.
Kwenye ngano hapana,na hv ndo nataka ziacha kabisa zitumia sidhan kama ntakuja hangaika jifunza upsh wa ngano
Ngano ni Ngano tuJifunze mapishi ya ngano yapo tofauti
Ahah upend kula au process zake ni ndefu?Ngano ni Ngano tu
Kucha sipendi kufuga kabisausafi umezingatia,kucha umekata swaaaafiii kweli we mpishi
Chukua boda mfwateDah!
Aliyepika chai, amezima simu.....
Interesting..Hell
Nimekimbia mbio kwenda likizo nilipofika home nikaona niwaandalie maandazi kuepuka kuchomoana hela ya vitafuno morng
So nikaanda unga wa ngano wa PPF kisha hamira, sukari, sodabik, barking powerd na irick
Nilianza na kuchekecha unga wa ngano na kuweka sukari pamoja na sodabik na barnking powerd na maziwa nikiwa naweka polepole kisha nikaanza kukanda
View attachment 3414786
Kanda mpaka pale ngano itakapo acha kushika mkononi ngano yako isiwe ngumu iwe lain
View attachment 3414787
Kisha acha ya ngano iumuke ila mimi sifanyi ivyo uwa nayakata kisha ndio yakianza kuumuka ndio na ya choma moja kwa moja
View attachment 3414789
View attachment 3414792
Unaona haya ndio maamdazi nilio yatengeneza ni mazuri sana karibuni kujifunza
View attachment 3414794
Ukianza kuchoma usiweke moto mkali sana
Asante kwa niaba yake nisha kutambulishaNapenda Sana maandazi ya maziwa na hiriki halafu Yalale!!
Abarikiwe aliyekulea katukuzia Pure husband material!!
Sitak papala pole pole kitu kitoke vzr bwasheeSafi sana mkuu,,,,, naona umekaa zako chini umerelax unakanda unga bila pressure,,,,utaoa kweli ,? π π π
Acha uoga wewebasi namtuma dogo
Miss LiverpoolMazuri yanaonekana
Namimi nianze kupost mapishi..kiutani utani mtu Anapata mchumbaila mimi sipendi maandazi yalopasuka hujaza mafuta,,nipo nakuja niandalie yale smooth π
Yes BossMiss Liverpool