Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
- Thread starter
-
- #121
Itakua we mpareNimeyamiss
Kesho napika
Kwa uchawi pia mko vizurItakua we mpare
Hapa wapare tutajulikana sana.
[emoji23][emoji23][emoji23]Uzuri wa kande ule kipolo hatari sana
Kwa afya sawa. Ila kwa utamu naweka mafuta kiasi na nazi.Katika chakula ambacho napatia kupika ni makande.
Hakuna haja ya kutia mafuta wakati utatia nazi.. Hii ni kwa afya!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Makande nayapenda ya msibani tu [emoji81][emoji81]
Hatuwazidi nyie wachagaKwa uchawi pia mko vizur
Ulimola ephenMimi msukuma
UlimolaUlimola ephen
Toka zako Mngoni weweUlimola
Halafu Wala ila nayapendaItakua we mpare
Hapa wapare tutajulikana sana.
We jifiche tu ipo siku tutakutana ugwenoHalafu Wala ila nayapenda
Kabisa bro ππππ mi na wapare ni maji na mafutaAchana na sisi...najua hutupendi!!!π€£π€£
We pendana na wasukumaπ€£π€£Kabisa bro ππππ mi na wapare ni maji na mafuta