Tupike makande

Tupike makande

Next time jaribu kande la majivu.
 
Mie sipendi kande ziwekwe viungo vingi, napenda kitunguu maji na mafuta basi.

Km hapo nisingeweza, ningetapikaa. Lol
 
Kwa afya sawa. Ila kwa utamu naweka mafuta kiasi na nazi.
Halafu nikishajipakulia kwenye sahani yangu naongeza blueband kijiko kimoja na sukari. Aiseee nakula sufuria zima😅😅.
Aione Omulasil
Ngoja nimpigie Dr Janabi atoe Mwongozo Demi Sijui wanafunzi kama mnaruhusiwa
 
Makande sijui yakoje, huwa ni matamu halafu hayashibishi...unaweza kula hata sahani 3!!.
 
Back
Top Bottom