Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Hope mpo
Vyedi kabisa
Jana nilikuwa na hamu ya makande nikaamua kuyachemsha jana usiku wakat naangalia tv nikawasha jiko la mkaa nikaweka makande yakawa yanaiva pole pole mda wa kulala ulipofika nikajaza maji ya kutosha nikasepa
Leo nimerudi zangu nikaanza maandalizi yangu yangu
Nika andaa karoti hoho na kitunguu maji
baada ya kumaliza nika chukua sufuria yangu inayo tosha nilijua makande kidogo kumbe mengi bhna nikaweka mafuta vizur baada ya mafuta kupata moto nikaweka kitunguu
Baada ya hapo nikaikaanga karoti vizuri ili nipate ile rangi ta karoti kande zangu zisiwe nyeupe
Baada ya kuona karoti zimekuwa kama vile nataka nikaweka hoho
Then nikaja kuweka sasa makande yangu yalikuwa mengi sikutegemea ase
Baada ya hapo nikaweka maji kidogo ilo nipate mchunzi nikaweka na chumvi kidogo kwenye chumvi kuwa makini weka kidogo kidogo unaweza ukaweka nyingi mwisho wa siku chakula ulikuwa na hamu nacho ukakichukia tena hamu ikakatika tu kisa chumvi
Baada ya hapo nikachukua nazi yangu nikaweka yote huwa natumia mara tatu ila leo nimeweka yote kutokana na uwingi wa chakula
Baada ya kuweka nazi nikaacha itokete kidogo vizuri nikaipua
Hapo zingine nilikuwa nimepunguza nimeweka kweye poti. Mlo uhu unaweza ukapika jumamos kwa wewe bachela kama siku iyo unafanya zako usafi unapika vizuri tu usiwe na haraka
Makande mengi sana naona kesho nitabeba nipoenda kwenywe maangaiko nikale na wenzangu