Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku hizi unatia makande chumvi badala ya sukarinikaweka na chumvi kidogo
😋😋😋Hope mpo
Vyedi kabisa
Jana nilikuwa na hamu ya makande nikaamua kuyachemsha jana usiku wakat naangalia tv nikawasha jiko la mkaa nikaweka makande yakawa yanaiva pole pole mda wa kulala ulipofika nikajaza maji ya kutosha nikasepa
Leo nimerudi zangu nikaanza maandalizi yangu yangu
View attachment 3241887
Nika andaa karoti hoho na kitunguu maji View attachment 3241888baada ya kumaliza nika chukua sufuria yangu inayo tosha nilijua makande kidogo kumbe mengi bhna nikaweka mafuta vizur baada ya mafuta kupata moto nikaweka kitunguu
View attachment 3241890
Baada ya hapo nikaikaanga karoti vizuri ili nipate ile rangi ta karoti kande zangu zisiwe nyeupe
View attachment 3241892
Baada ya kuona karoti zimekuwa kama vile nataka nikaweka hoho
View attachment 3241893Then nikaja kuweka sasa makande yangu yalikuwa mengi sikutegemea ase
View attachment 3241894
Baada ya hapo nikaweka maji kidogo ilo nipate mchunzi nikaweka na chumvi kidogo kwenye chumvi kuwa makini weka kidogo kidogo unaweza ukaweka nyingi mwisho wa siku chakula ulikuwa na hamu nacho ukakichukia tena hamu ikakatika tu kisa chumvi
View attachment 3241896
Baada ya hapo nikachukua nazi yangu nikaweka yote huwa natumia mara tatu ila leo nimeweka yote kutokana na uwingi wa chakula
View attachment 3241898
Baada ya kuweka nazi nikaacha itokete kidogo vizuri nikaipua
View attachment 3241901
Hapo zingine nilikuwa nimepunguza nimeweka kweye poti. Mlo uhu unaweza ukapika jumamos kwa wewe bachela kama siku iyo unafanya zako usafi unapika vizuri tu usiwe na haraka
View attachment 3241905
Makande mengi sana naona kesho nitabeba nipoenda kwenywe maangaiko nikale na wenzangu
Mi kwanza sinywagi juice!, juice mnakunywa nyie watoto wapole!.Umekariri! Juice ya tikiti/ nanasi/ apple ni tamu kuliko ya embe.
😂😂😂 inakuwa poaMatunda mengine bhana hata hayapendezi kutengenezewa juice..🤣
Imepitaaaweka na parachichi na safari lager ya barid hapo
labda niweke na ka konyagi...🤣😂😂😂 inakuwa poa
Sukari unapenda wewe mm natumia chumviSiku hizi unatia makande chumvi badala ya sukari
Lini nije nitoe posa au bado usahili sijapita 😂
OkSukari unapenda wewe mm natumia chumvi
Ulevi uho kijana tunza figo na mapafu 😂labda niweke na ka konyagi...🤣
Nakingojea keshoUzuri wa kande ule kipolo hatari sana
Hii lazima niijaribu Jumamosi hii...Hope mpo
Vyedi kabisa
Jana nilikuwa na hamu ya makande nikaamua kuyachemsha jana usiku wakat naangalia tv nikawasha jiko la mkaa nikaweka makande yakawa yanaiva pole pole mda wa kulala ulipofika nikajaza maji ya kutosha nikasepa
Leo nimerudi zangu nikaanza maandalizi yangu yangu
View attachment 3241887
Nika andaa karoti hoho na kitunguu maji View attachment 3241888baada ya kumaliza nika chukua sufuria yangu inayo tosha nilijua makande kidogo kumbe mengi bhna nikaweka mafuta vizur baada ya mafuta kupata moto nikaweka kitunguu
View attachment 3241890
Baada ya hapo nikaikaanga karoti vizuri ili nipate ile rangi ta karoti kande zangu zisiwe nyeupe
View attachment 3241892
Baada ya kuona karoti zimekuwa kama vile nataka nikaweka hoho
View attachment 3241893Then nikaja kuweka sasa makande yangu yalikuwa mengi sikutegemea ase
View attachment 3241894
Baada ya hapo nikaweka maji kidogo ilo nipate mchunzi nikaweka na chumvi kidogo kwenye chumvi kuwa makini weka kidogo kidogo unaweza ukaweka nyingi mwisho wa siku chakula ulikuwa na hamu nacho ukakichukia tena hamu ikakatika tu kisa chumvi
View attachment 3241896
Baada ya hapo nikachukua nazi yangu nikaweka yote huwa natumia mara tatu ila leo nimeweka yote kutokana na uwingi wa chakula
View attachment 3241898
Baada ya kuweka nazi nikaacha itokete kidogo vizuri nikaipua
View attachment 3241901
Hapo zingine nilikuwa nimepunguza nimeweka kweye poti. Mlo uhu unaweza ukapika jumamos kwa wewe bachela kama siku iyo unafanya zako usafi unapika vizuri tu usiwe na haraka
View attachment 3241905
Makande mengi sana naona kesho nitabeba nipoenda kwenywe maangaiko nikale na wenzangu
Hauna kitambi? Unatumia sana mafuta
Hakukua na haja ya kukaanga hivyo viungo wakatu utaweka nazi.
Kwa mapishi haya njoo ata kesho 🤣🤣🤣🤣🤣Lini nije nitoe posa au bado usahili sijapita 😂
Mimi msukumaMwanafunzi ameshakua sasa,Anaanza kumfundisha mwalimu.
Ephen ni mpare nini wewe