Tupike ndizi nyama ya kukaanga

Good
 
Ee dogo si unajua tena sie wengine kazi zetu zinategemea nguvu zetuπŸ˜€ule hivyo unaweza kubonda kokoto kweli au kutupia mchanga kwenye Tipa mpaka lijae πŸ˜€
Ahahah huwezi hii chakula ni kwasisi jobless
 
Safi sana masta, sasa hapo si haushibi aisee, sisi wachoma mkaa hio ni mboga ya ugali ! Hapo inabidi usongwe ugali mkubwa sana πŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…