Tupime uaminifu wa watu wetu tunaowapigia "debe".

Tupime uaminifu wa watu wetu tunaowapigia "debe".

Weka na ile ya Mbowe akisema mwisho wake wa uenyekiti ni 2024. Usisahau na ile ya kuwa Lowassa ni fisadi. Hapo tutakuwa kwenye nafasi nzuri ya kupima unachotaka tukiamini.
Fine zitafute uziweke... ndiyo maana ya uzi huu!
By the way kwahiyo akikosea Mbowe na Lisu akosee? Uadilifu mnao adavance kuwa anao Lisu kuliko Mbowe uko wapi if this is to be the case? Basi wote ni wafu hawafai 😀 😀 😀 😀 😀
 
Msikilize huyu, halafu useme kama wenye akili wanaweza kumwamini kesho na keshokutwa
huyu muungwana asie aminika,
ni mnafiki na msaliti wa kiwango cha juu mno, lakini pia na mtu ni wazi leo anaweza kusema hili kesho akasema lingine, yuko radhi hata kujikana yeye mwenyewew kwasababu tu ya tamaa na uchu wa madaraka :pedroP:
 
poa basi mwana ccm! Ila acheni roho mbaya
poa poa yamekwisha.

Mimi ni chadema kufa kupona ndiyo mana inaniuma ikipasuka.

Lisu nilikuwa nampenda sana, my gfavirite politician. "nimemchoka" kutokana na njia anazotumia kupata uenyekiti.

Actually katika hali ya kawaida nami ningelimpa Lisu kura. sasa anatafuta madaraka at the detriment of chama chake, kuwatukana wenzake, kuwasingizia vitu havina evidence.... etc etc! Kumbe hafai!
 
Hiki ndicho wengi wasichoelewa.

Amandla...
 
poa poa yamekwisha.

Mimi ni chadema kufa kupona ndiyo mana inaniuma ikipasuka.

Lisu nilikuwa nampenda sana, my gfavirite politician. "nimemchoka" kutokana na njia anazotumia kupata uenyekiti.

Actually katika hali ya kawaida nami ningelimpa Lisu kura. sasa anatafuta madaraka at the detriment of chama chake, kuwatukana wenzake, kuwasingizia vitu havina evidence.... etc etc! Kumbe hafai!
Mkuu, natofautiana hadharani na wewe kwa jambo hili moja

Wanachadema wote kabisa, wenye uchungu na nchi hii nzuri jina Tanzania (Tanganyika) wako na Lissu kwa sababu kuu moja tu

Hatuoni njia yoyote tena Mbowe ataitumia ili kuiondoa ccm madarakani, na badala yake wazawa na wenye haki ya kuishi maisha Mazuri yaliyoandaliwa na Mungu katika nchi yao hii Tanzania (Watanzania) ni dhahiri siku watajikuta kuwa watumwa wakubwa ktk nchi yao nzuri Tanzania

Kwa Lissu, upo mwanga na njia za kupambana na uhuni wote wa chama chenu CCM

CCM ni wahuni, na njia za kupambana na uhuni huo, zipo kwa Lissu pekee hakuna mwingine tena

Na ndiyo maana wote wana CCM wanaomba usiku na mchana Lissu asiwe Mwenyekiti Wa Chadema

Ujanja wanaotumia kuihurumia Chadema kwamba, Lissu akiwa mwenyekiti itasambaratika, huo ni uhuni mwingine wa wana ccm, kwa sababu kila mwana ccm fisadi yoyote yule, anaombea chadema ife hata leo

Iweje wao wawahurumie wanachadema kuongozwa na mtu ambaye Chadema itamfia?

Mkubali, sasa 40 zenu kumebakia masaa machache tu zitimie siku zenu za uwizi ili muanze kushughurikiwa
 
Msikilize huyu, halafu useme kama wenye akili wanaweza kumwamini kesho na keshokutwa

Kuna wengine huku:

GgorHp4XUAAE0_u.jpeg

Huna neno lolote kwao?
 
Back
Top Bottom