Tupime uaminifu wa watu wetu tunaowapigia "debe".

Tupime uaminifu wa watu wetu tunaowapigia "debe".

HAKUNA KUFA , HAKUNA KUFA.... NI UROHO WA MADARAKA!

FINE NI HATUA NZURI KUKIOKOA KISIFE. MY QUESTION AND CONCERN..IS THIS: IS THIS THE RIGHT TO DO IT? UNAWABAGAZA WENZAKO NA KULETA MPASUKO KAMA ULIOPO
Uchaguzi wa serikali za mitaa yale matokeo ni kupelekea chama kufa na ile haijaja kwa bahati mbaya ndomana yale matokeo,kama una mawazo huru fatilia Lema alichopost .
 
Kimsingi Mbowe na Lissu wote hawafai. Mmoja ana uanaharakati ambao kimsingi kwenye siasa haufai na mwingine ame-chock, hafai hata kidogo kuongoza kwa sasa.

Angepatikana mwingine mambo yangemalizika.
Siasa za ukombozi zinahitaji wanaharakati,wanasiasa ni watu waliokuta kila kitu kipo smooth waendeleze gurudumu.
 
Hoja sio nguvu, hoja ni siasa zake. Hazina impact..
Zisingekua na impacts asingekua anaogopwa na chama tawala,ukionq hadi chama tawala kinachagua mpinzani dhaifu kati ya hao wawili basi ujue kuna kitu wanakiogopa,jiulize lini walishawahi kuwa upande wa FAM?
 
Back
Top Bottom