poa poa yamekwisha.
Mimi ni chadema kufa kupona ndiyo mana inaniuma ikipasuka.
Lisu nilikuwa nampenda sana, my gfavirite politician. "nimemchoka" kutokana na njia anazotumia kupata uenyekiti.
Actually katika hali ya kawaida nami ningelimpa Lisu kura. sasa anatafuta madaraka at the detriment of chama chake, kuwatukana wenzake, kuwasingizia vitu havina evidence.... etc etc! Kumbe hafai!
Mkuu, natofautiana hadharani na wewe kwa jambo hili moja
Wanachadema wote kabisa, wenye uchungu na nchi hii nzuri jina Tanzania (Tanganyika) wako na Lissu kwa sababu kuu moja tu
Hatuoni njia yoyote tena Mbowe ataitumia ili kuiondoa ccm madarakani, na badala yake wazawa na wenye haki ya kuishi maisha Mazuri yaliyoandaliwa na Mungu katika nchi yao hii Tanzania (Watanzania) ni dhahiri siku watajikuta kuwa watumwa wakubwa ktk nchi yao nzuri Tanzania
Kwa Lissu, upo mwanga na njia za kupambana na uhuni wote wa chama chenu CCM
CCM ni wahuni, na njia za kupambana na uhuni huo, zipo kwa Lissu pekee hakuna mwingine tena
Na ndiyo maana wote wana CCM wanaomba usiku na mchana Lissu asiwe Mwenyekiti Wa Chadema
Ujanja wanaotumia kuihurumia Chadema kwamba, Lissu akiwa mwenyekiti itasambaratika, huo ni uhuni mwingine wa wana ccm, kwa sababu kila mwana ccm fisadi yoyote yule, anaombea chadema ife hata leo
Iweje wao wawahurumie wanachadema kuongozwa na mtu ambaye Chadema itamfia?
Mkubali, sasa 40 zenu kumebakia masaa machache tu zitimie siku zenu za uwizi ili muanze kushughurikiwa