ndengisivilii
JF-Expert Member
- Jun 21, 2024
- 496
- 570
Uchaguzi wa serikali za mitaa yale matokeo ni kupelekea chama kufa na ile haijaja kwa bahati mbaya ndomana yale matokeo,kama una mawazo huru fatilia Lema alichopost .HAKUNA KUFA , HAKUNA KUFA.... NI UROHO WA MADARAKA!
FINE NI HATUA NZURI KUKIOKOA KISIFE. MY QUESTION AND CONCERN..IS THIS: IS THIS THE RIGHT TO DO IT? UNAWABAGAZA WENZAKO NA KULETA MPASUKO KAMA ULIOPO
Siasa za ukombozi zinahitaji wanaharakati,wanasiasa ni watu waliokuta kila kitu kipo smooth waendeleze gurudumu.Kimsingi Mbowe na Lissu wote hawafai. Mmoja ana uanaharakati ambao kimsingi kwenye siasa haufai na mwingine ame-chock, hafai hata kidogo kuongoza kwa sasa.
Angepatikana mwingine mambo yangemalizika.
Kweli upo serious? Yani mtu aliyekalia nafasi kwa miaka zaidi ya 20 na anayewania kwa mara ya kwanza nani mroho wa madaraka??!!HAKUNA KUFA , HAKUNA KUFA.... NI UROHO WA MADARAKA!
Binafsi sijawahi kuamini kama Lissu ni mzima kichwani.Msikilize huyu, halafu useme kama wenye akili wanaweza kumwamini kesho na keshokutwa
Lissu na uanaharakati wake hatafanya lolote la maana.Siasa za ukombozi zinahitaji wanaharakati,wanasiasa ni watu waliokuta kila kitu kipo smooth waendeleze gurudumu.
Umetumia njia gani kutabiri future? Ukiona hadi waliompinga FAM zamani sasa wameungana nae wanataka ashinde ujue TAL ana nguvu.Lissu na uanaharakati wake hatafanya lolote la maana.
Mwaka wa uchaguzi unakuwa na kelele nyingi.Msikilize huyu, halafu useme kama wenye akili wanaweza kumwamini kesho na keshokutwa
Hoja sio nguvu, hoja ni siasa zake. Hazina impact..Umetumia njia gani kutabiri future? Ukiona hadi waliompinga FAM zamani sasa wameungana nae wanataka ashinde ujue TAL ana nguvu.
Zisingekua na impacts asingekua anaogopwa na chama tawala,ukionq hadi chama tawala kinachagua mpinzani dhaifu kati ya hao wawili basi ujue kuna kitu wanakiogopa,jiulize lini walishawahi kuwa upande wa FAM?Hoja sio nguvu, hoja ni siasa zake. Hazina impact..