TUPINGE MNYIKA KUPEWA KESI YA MAUAJI NA UTEKAJI

TUPINGE MNYIKA KUPEWA KESI YA MAUAJI NA UTEKAJI

Surat Al-Ankabut (29:64): "Na maisha haya ya duniani si kitu ila ni mchezo na starehe za pumbao. Na hakika nyumba ya Akhera ndiyo maisha, laiti wangelijua!"
Waione nani? Chadema? Polisi au Raia waliobakia?
 
Kuna dalili na kila namna J Mnyika kupewa kesi ya mauaji ya mzee Kibao na utekaji.
Niliwahi kusema na kurudia kuwa Police wanataka bambikizia kesi CHADEMA .
Hayo labda ndo maagizo waliyo pewa Ikulu jana.
Hii nchi imesha rudishwa kwa Magu. Tuna takiwa kufunga na kusali sana, ili Mungu aka malizane na huu utawala.
Kama Mungu ili muuma kuona wana wa Israel wana teseka aka mtumia Mussa kwenda kuwa komboa basi na sasa afanye jambu juu ya Taifa la Tanzania. Kama Mnyika ana kikosi chenye silaha za kivita basi wamkamate, ila haya ni mateso ya hapa duniani yuko aonae sirini ana jua walio muua Meddy.
 
Kabla hatujapinga tuonyeshe kwanza muuaji wa Ally Kibao na utupe ushahidi
 
Hao wahuni wanataka tu kuwatoa watu kwenye mstari. Yaani ni kama tu ilivyokuwa kwenye ile kesi ya ugaidi hewa wa Mbowe.
 
Si ndio vizuri akipewa hiyo kesi ili waje mahakamani kibatala awabagaze na maranja utaabalishe kinachojili mahakamani
 
Surat Al-Ankabut (29:64): "Na maisha haya ya duniani si kitu ila ni mchezo na starehe za pumbao. Na hakika nyumba ya Akhera ndiyo maisha, laiti wangelijua!"
Haya maandishi bro kama unayaishi ni wewe dunia ya leo watu wanaangalia wataamka vipi kesho hawaangalii wataamkia wapi kama ni kwenye kifo au kwenye pumzi so huyo Samia and the likes hata uwachape fimbo wayasome wayaelewe ili wayaishi hakuna atakaekubali.

Na yote ni sababu wameshaonja ladha ya madaraka.
 
Back
Top Bottom