Matulanya Mputa
JF-Expert Member
- Aug 14, 2023
- 245
- 655
Surat Al-Ankabut (29:64): "Na maisha haya ya duniani si kitu ila ni mchezo na starehe za pumbao. Na hakika nyumba ya Akhera ndiyo maisha, laiti wangelijua!"Kama.hana hatia mahakama itamsafisha
Waione nani? Chadema? Polisi au Raia waliobakia?Surat Al-Ankabut (29:64): "Na maisha haya ya duniani si kitu ila ni mchezo na starehe za pumbao. Na hakika nyumba ya Akhera ndiyo maisha, laiti wangelijua!"
Mahakama zipi? Au MahakamaCCKama.hana hatia mahakama itamsafisha
Hayo labda ndo maagizo waliyo pewa Ikulu jana.Kuna dalili na kila namna J Mnyika kupewa kesi ya mauaji ya mzee Kibao na utekaji.
Niliwahi kusema na kurudia kuwa Police wanataka bambikizia kesi CHADEMA .
Haya maandishi bro kama unayaishi ni wewe dunia ya leo watu wanaangalia wataamka vipi kesho hawaangalii wataamkia wapi kama ni kwenye kifo au kwenye pumzi so huyo Samia and the likes hata uwachape fimbo wayasome wayaelewe ili wayaishi hakuna atakaekubali.Surat Al-Ankabut (29:64): "Na maisha haya ya duniani si kitu ila ni mchezo na starehe za pumbao. Na hakika nyumba ya Akhera ndiyo maisha, laiti wangelijua!"
Kila mtu anaejua nafsi yake. Na huko hutohukumiwa kinship. Kichama au kiitasisi. Wewe kama weweWaione nani? Chadema? Polisi au Raia waliobakia?
Sawa Sheikh, kwa hiyo mwezetu ulijaaliwa Swalaatul fajr leo?Kila mtu anaejua nafsi yake. Na huko hutohukumiwa kinship. Kichama au kiitasisi. Wewe kama wewe