Tupo Baba Wawili mtoto Mmoja.

Na wanaume wanaodandia wanawake wa barabarani unawaitaje?

mwanamke hana location maalum ya kukutana naye mpk mnaanza mapenzi, mbona wanawake wanakutana na vijana barabarani na wanajenga mahusiano imara, ila wanawake ndio shida yani ata ukimzawadia zahabu, bado anaweza kukusaliti kisa Kababu! foolish sana wanawake
 
wanawake ni mashetani yani hii ni kweli kabisa, kama we ni mwanaume na unabisha, Subiri utakuja thibitisha na wewe kama mi ninavyothibitisha.
D TARGET unapotamka maneno uwe unafikiria yana maana gani. Kwa hiyo kwa vile unathibitisha kuwa wanawake ni mashetani hapo ujue umemjumuisha hata bibi zako, mama yako na dada zako. Kwa reasoning hiyo hiyo unatuambia hapa kuwa wewe ni mtoto wa shetani mmojawapo ambaye ni mama yako. Jamani wakati mwingine msikimbilie kuropoka tu kwa hasira ya kukosewa na mtu mmoja mnatukana mpaka wale walio wa thamani kubwa kwenu.
 
Last edited by a moderator:

eeh eeh eeh eeh!!!! Yamekukuta eeeehhhhh!!! Pole sana. Ndio dunia hiyo. Walimwengu wabaya sana.
 

ok let me put this way, Asilimia 80 ya wanawake wanashindwa kumudu ya mapito ya Dunia mwishowe wanajikuta wameishia katika matendo ya kishetani. Sijui chanzo ni Upendo walionao au ni udhaifu wao. Ebu jaribu kufanya research kwanini watoto wengi wa kitanzania wanalelewa katika Single parent family, watoto wangapi wanaolelewa na mababa ambao siyo wao? na nini chanzo cha mahusiano mengi ya kimapenzi kuvunjika. Kwani tafsiri sahihi ya ushetani ni nini?
 
Last edited by a moderator:

Kwa hiyo ndugu yangu hayo matatizo yote uliyoyataja anayeyasababisha ni mwanamke tu? Hebu jaribu kifikiria zaidi ya hapo.
 
Kwa hiyo ndugu yangu hayo matatizo yote uliyoyataja anayeyasababisha ni mwanamke tu? Hebu jaribu kifikiria zaidi ya hapo.

may b sababu nimeshapatwa na tatizo ambalo chanzo ni mwanamke direct. Ila siyo 100 percent wapo wengine wako poa, ila most of them Dunia imewazidi ubora.
 
Pole mkuu. namfahamu jamaa ambaye alikuwa na tatizo kama la kwako. Kibaya zaidi mtoto alibatizwa mara mbili kwa baba huyu na kwa baba huyu pia yani na majina yalitolewa na bibi mzaa baba huyu na bibi mzaa baba yule. Kwa bahati mbaya kwa sasa baba wote wawili wamefariki, yule mama na mtoto pia. Baba mmoja alikuwa jamaa yangu.

Ongea na huyo baba mwingine ikiwezekana mumpime mtoto. kama wako mchukue maana kwa mama huyo atakua na malezi mabaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…