Tupo katika ardhi ya madini. Tuwekeze

Tupo katika ardhi ya madini. Tuwekeze

Engager

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2011
Posts
1,522
Reaction score
3,255
Ndugu zangu Watanzania tupo katika Ardhi ya madini. Bila shaka nitapata hapa ninacho kitafuta.
- Nimetokea kujuana na watu wenye pesa zao kutoka nje. Wanahitaji kuwekeza katika uchimbaji wa madini hasahasa Dhahabu.
-Kwenu nimekuja sasa. Natafuta mtu mwenye vitalu vyenye deposit ya madin (madini yoyote valuable) itapendeza zaidi ikiwa gold.
Vitalu viwe vimefanyiwa exploration ili kujiridhisha kama madini yaliyopo yanaweza kuwa mined economically. Kama unavyo tuwasiliane kwa email hii: investnow60@gmail.com, tuanze kazi.
Au kama kuna mtu unamfaham anavyo ila hakufanikiwa kuona Uzi huu mshirikishe.
Nawasilisha.
 
Salama mkuu!Kuvipata vitalu vilivyofanyiwa detailed exploration nafikri itakuwa kazi ngumu na gharama sana.Ni matajiri wachache wameweza kufanya hili kama Mengi na Subash na hawa kuwaambia wakuuzieni vitalu nabidi mujipange hasa. Hili linasababishwa na ukweli kwamba exploration is a very very expensive activity.Advise: Nchi nzima imekuwa roughly surveyed na GST kwa hiyo zipo ramani zinazoonhyesha distribution ya minerals nchini though with low level of confidence, kwa msaada wa ramani zichukuliwe PMLs kadhaa then mfanye exploration wenyewe.Kwa msaada wa wataalam, wenyeji, na hizi ramani chance ya kupata ni kubwa sana.You can check on me for detailed explanation if needed.This is my area of expertise.
 
Mkuu mali kauli,mimi nina vitalu vya gypsum vipo kilwa,ukisikia mtu anahitaji tuwasiliane tafadhali.
 
Mkihitaji geologist kwa msaada wowote
Am here just PM me
 
Salama mkuu!Kuvipata vitalu vilivyofanyiwa detailed exploration nafikri itakuwa kazi ngumu na gharama sana.Ni matajiri wachache wameweza kufanya hili kama Mengi na Subash na hawa kuwaambia wakuuzieni vitalu nabidi mujipange hasa. Hili linasababishwa na ukweli kwamba exploration is a very very expensive activity.Advise: Nchi nzima imekuwa roughly surveyed na GST kwa hiyo zipo ramani zinazoonhyesha distribution ya minerals nchini though with low level of confidence, kwa msaada wa ramani zichukuliwe PMLs kadhaa then mfanye exploration wenyewe.Kwa msaada wa wataalam, wenyeji, na hizi ramani chance ya kupata ni kubwa sana.You can check on me for detailed explanation if needed.This is my area of expertise.
Asante sana kwa ushauri Ndugu. Ntaufanyia kazi
 
Wasiliana na mkurugenzi mtendaji !kakungu tandama gems& co Ltd 0759118089
 
Back
Top Bottom