Ndugu zangu Watanzania tupo katika Ardhi ya madini. Bila shaka nitapata hapa ninacho kitafuta.
- Nimetokea kujuana na watu wenye pesa zao kutoka nje. Wanahitaji kuwekeza katika uchimbaji wa madini hasahasa Dhahabu.
-Kwenu nimekuja sasa. Natafuta mtu mwenye vitalu vyenye deposit ya madin (madini yoyote valuable) itapendeza zaidi ikiwa gold.
Vitalu viwe vimefanyiwa exploration ili kujiridhisha kama madini yaliyopo yanaweza kuwa mined economically. Kama unavyo tuwasiliane kwa email hii: investnow60@gmail.com, tuanze kazi.
Au kama kuna mtu unamfaham anavyo ila hakufanikiwa kuona Uzi huu mshirikishe.
Nawasilisha.
Mkuu mali kauli,mimi nina vitalu vya gypsum vipo kilwa,ukisikia mtu anahitaji tuwasiliane tafadhali.Salama mkuu!Kuvipata vitalu vilivyofanyiwa detailed exploration nafikri itakuwa kazi ngumu na gharama sana.Ni matajiri wachache wameweza kufanya hili kama Mengi na Subash na hawa kuwaambia wakuuzieni vitalu nabidi mujipange hasa. Hili linasababishwa na ukweli kwamba exploration is a very very expensive activity.Advise: Nchi nzima imekuwa roughly surveyed na GST kwa hiyo zipo ramani zinazoonhyesha distribution ya minerals nchini though with low level of confidence, kwa msaada wa ramani zichukuliwe PMLs kadhaa then mfanye exploration wenyewe.Kwa msaada wa wataalam, wenyeji, na hizi ramani chance ya kupata ni kubwa sana.You can check on me for detailed explanation if needed.This is my area of expertise.
Asante sana kwa ushauri Ndugu. Ntaufanyia kaziSalama mkuu!Kuvipata vitalu vilivyofanyiwa detailed exploration nafikri itakuwa kazi ngumu na gharama sana.Ni matajiri wachache wameweza kufanya hili kama Mengi na Subash na hawa kuwaambia wakuuzieni vitalu nabidi mujipange hasa. Hili linasababishwa na ukweli kwamba exploration is a very very expensive activity.Advise: Nchi nzima imekuwa roughly surveyed na GST kwa hiyo zipo ramani zinazoonhyesha distribution ya minerals nchini though with low level of confidence, kwa msaada wa ramani zichukuliwe PMLs kadhaa then mfanye exploration wenyewe.Kwa msaada wa wataalam, wenyeji, na hizi ramani chance ya kupata ni kubwa sana.You can check on me for detailed explanation if needed.This is my area of expertise.