Tupo na mama mpaka 2035, Kwa mara ya kwanza anaenda kugombea urais 2025, mara ya pili 2030, awamu ya sasa haihesabiki

Tupo na mama mpaka 2035, Kwa mara ya kwanza anaenda kugombea urais 2025, mara ya pili 2030, awamu ya sasa haihesabiki

wastani kwa idadi

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2024
Posts
503
Reaction score
1,432
2025 ndio uchaguzi rasmi wa kwanza kwa mama kugombea urais

2030 itakuwa ni awamu ya pili, Wajumbe wa CCM kwa kauli moja hawana tatizo lolote kwa Samia Suluhu Hassan kuwania tena nafasi katika uchaguzi wa 2030

Awamu ya sasa haihesabiki kwasababu ni jukumu lililomlazimu aliwajibikie kama makamu wa rais wa awamu iliyopita

Wajumbe wa CCM kwa kauli moja hawana tatizo lolote, Iwe kwa mvua iwe kwa jua, 2030 kuna mitano tena ya mama 😀😀
 
2025 ndio uchaguzi rasmi wa kwanza kwa mama kugombea urais

2030 itakuwa ni awamu ya pili, sijaona wa kulipinga hili kwenye kamati ya CCM

Hii ya sasa haihesabiki kwasababu ni jukumu lililomlazimu aliwajibikie kama makamu wa rais.
Hujui hata katiba ya nchi Yako inasemaje juu ya jambo hili,pole sana ,aibu napata mie,eti nawewe mwana-CCM,sidhani kama huku chamani tuna watu wa karba yako
 
2025 ndio uchaguzi rasmi wa kwanza kwa mama kugombea urais

2030 itakuwa ni awamu ya pili, sijaona wa kulipinga hili kwenye kamati ya CCM

Hii ya sasa haihesabiki kwasababu ni jukumu lililomlazimu aliwajibikie kama makamu wa rais.
Kasome katiba iko specific kabisa kuhusu anayekaimu urais kama ni chini ya miaka 3 basi haihesabiki kama ni zaodi ya miaka 3 inahesabika kama kipindi kamili. Hivyo Rais Samia kakaimu na katawala zaidi ya miaka mitatu.
Acheni kuropoka unless kama katiba itabadilishwa.
 
2025 ndio uchaguzi rasmi wa kwanza kwa mama kugombea urais

2030 itakuwa ni awamu ya pili, Wajumbe wa CCM kwa kauli moja hawana tatizo lolote kwa Samia Suluhu Hassan kuwania tena nafasi katika uchaguzi wa 2030

Hii ya sasa haihesabiki kwasababu ni jukumu lililomlazimu aliwajibikie kama makamu wa rais.
inahesabika, atagombea awamu mbili tu
 
Naona umetumwa kupotosha kwa makusudi. Utakuwa timu Bumbuli wewe

Ukiwa na akili utakuwa ushajua mgombea 2030 nani. Poleni sana na January , inakaribia kuisha lakini February inakuja.
 
Kasome katiba iko specific kabisa kuhusu anayekaimu urais kama ni chini ya miaka 3 basi haihesabiki kama ni zaodi ya miaka 3 inahesabika kama kipindi kamili. Hivyo Rais Samia kakaimu na katawala zaidi ya miaka mitatu.
Acheni kuropoka unless kama katiba itabadilishwa.
Usiumize sana akili kuifikiria katiba, kwa CCM lolote linawezekana.
 
2025 ndio uchaguzi rasmi wa kwanza kwa mama kugombea urais

2030 itakuwa ni awamu ya pili, Wajumbe wa CCM kwa kauli moja hawana tatizo lolote kwa Samia Suluhu Hassan kuwania tena nafasi katika uchaguzi wa 2030

Awamu ya sasa haihesabiki kwasababu ni jukumu lililomlazimu aliwajibikie kama makamu wa rais kuchukua nafasi ya rais aliyepita.
Hii bangi Huwa mnavutia chooni au?
Makamu wa Rais anapochukua madaraka ya Rais aliyefariki:

Atahudumu kama Rais kwa kipindi kilichobaki cha muhula wa uongozi wa Rais aliyefariki.

Kipindi hicho cha utawala hakihesabwi kama awamu kamili kwa Makamu wa Rais anayechukua nafasi ya Rais.

2. Muda wa awamu itakavyohesabiwa:

Iwapo Makamu wa Rais atachukua nafasi ya Rais na kuhudumu kwa kipindi kilichobaki cha muhula wa Rais aliyefariki, nafasi hiyo itazingatiwa kama mwendelezo wa awamu ya urais iliyokuwa ikiendelea, na si awamu mpya kwa Rais huyo mpya.

Rais huyo ataweza kuwania awamu mbili kamili za urais katika uchaguzi mkuu unaofuata, kulingana na Ibara ya 40(2) ambayo inaruhusu mtu kushika madaraka ya Rais kwa awamu zisizozidi mbili.

3. Mfano wa utekelezaji:
Kama Rais atafariki mwaka wa tatu wa muhula wake, Makamu wa Rais atachukua nafasi kwa miaka miwili iliyobaki, na kipindi hicho hakitahesabiwa kama awamu yake ya kwanza. Anaweza kugombea na kuhudumu kwa vipindi viwili kamili baada ya hapo, kama sh
eria inavyoruhusu.

Haya Magufuli alimaliza miaka mitatu Ndio akafa? Jibu ni hapana! Hivyo Samia ameshahudumu awamu yake Moja amebakiza awamu Moja!
 
Back
Top Bottom