2025 ndio uchaguzi rasmi wa kwanza kwa mama kugombea urais
2030 itakuwa ni awamu ya pili, Wajumbe wa CCM kwa kauli moja hawana tatizo lolote kwa Samia Suluhu Hassan kuwania tena nafasi katika uchaguzi wa 2030
Awamu ya sasa haihesabiki kwasababu ni jukumu lililomlazimu aliwajibikie kama makamu wa rais kuchukua nafasi ya rais aliyepita.
Hii bangi Huwa mnavutia chooni au?
Makamu wa Rais anapochukua madaraka ya Rais aliyefariki:
Atahudumu kama Rais kwa kipindi kilichobaki cha muhula wa uongozi wa Rais aliyefariki.
Kipindi hicho cha utawala hakihesabwi kama awamu kamili kwa Makamu wa Rais anayechukua nafasi ya Rais.
2. Muda wa awamu itakavyohesabiwa:
Iwapo Makamu wa Rais atachukua nafasi ya Rais na kuhudumu kwa kipindi kilichobaki cha muhula wa Rais aliyefariki, nafasi hiyo itazingatiwa kama mwendelezo wa awamu ya urais iliyokuwa ikiendelea, na si awamu mpya kwa Rais huyo mpya.
Rais huyo ataweza kuwania awamu mbili kamili za urais katika uchaguzi mkuu unaofuata, kulingana na Ibara ya 40(2) ambayo inaruhusu mtu kushika madaraka ya Rais kwa awamu zisizozidi mbili.
3. Mfano wa utekelezaji:
Kama Rais atafariki mwaka wa tatu wa muhula wake, Makamu wa Rais atachukua nafasi kwa miaka miwili iliyobaki, na kipindi hicho hakitahesabiwa kama awamu yake ya kwanza. Anaweza kugombea na kuhudumu kwa vipindi viwili kamili baada ya hapo, kama sh
eria inavyoruhusu.
Haya Magufuli alimaliza miaka mitatu Ndio akafa? Jibu ni hapana! Hivyo Samia ameshahudumu awamu yake Moja amebakiza awamu Moja!