Tupo na mama mpaka 2035, Kwa mara ya kwanza anaenda kugombea urais 2025, mara ya pili 2030, awamu ya sasa haihesabiki

Kwenye nchi ipi?
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Si atakuwa kikongwe?
 
Kwa katiba hii hii au ipi?

Unajua hata katiba ya Tanzania inasemaje?
 

mmeshaanza kumchuria, wachawi hamkomi. mlianza hivyo hivyo kwa Jiwe mkamletea yaliyompata
 

Kwa akili yake anaweza kushtukiza kwenye mkutano mkuu akimtumia mtu kama Kiishimba akauliza wangapi wanataka Samia awe Rais wa milele kama alivyofanya kwenye huu mchakato wa kugombea urais kupitia CCM na katiba ya. Chi akabadilisha.
 
Kwa yaliyotokea leo dodoma yanakuwa kipimo sahihi kujua kama tanganyika kuna watu au bado kuna maiti alizosema Mzee Kenyatta zama zile..
Kenyatta alisema wapi hayo ? Unaweza kunipa Quote Ad Verbatim ? Acheni utani kipindi hicho kuna wazalendo wewe kama kiongozi huwezi kutoa matusi ya rejareja (Hizi sampuli za Kina Trump na Chalamila ni zao la juzi juzi)

Back to the lecture at hand..., Wapuuzi sio wanaofanyiwa hivyo ni hao wanaofanya kwa kutokujua kula na vipofu.., hivyo wanazidi kujenga chuki na kuweka vizazi vyao hatarini as tunapoelekea hapatoshi (class gaps, have and have nots, bila kusahau chuki baina ya so called walamba asali na mafukara wa kitaa)
 
Wewe ni mbuzi asiyejua kuwa Kuna kitu kinaitwa Katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

Hiki ni kipindi chake cha mwisho kwani muda atakaongoza baada ya kifo cha Mwendazake ni zaidi ya miaka 3.
Ingekuwa chini ya hapo hiki kipindi kisingehesabika!
Soma Katiba usiwe na akili za uchawa chawa!
 
Soma katiba acha kubuni mambo
 
Nikajiunge zangu jkt mapema japo am 35 nijiweke 2030 tutaingia mstuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…