Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Hamjambo wote!
Sisi tupo tayari kusherehekea mwaka mpya pamoja na ndugu zetu waislam. Muhimu zaidi ni mialiko yenye pilau, nyama na vinywaji.
Kwani kitu gani bhana! Maisha ndio hayahaya. Nimemaliza