PSEUDOPODIA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2020
- 392
- 798
Ataongea na wa algeria wenzie 😂😂Kwa sasa tumetulia tu tunamwangalia kocha anavyojikanyaga, ila Tukishindwa kufuzu Afcon ndo tutatoka sasa kusema " Tulijua tu".
Yaan kocha aombe tufuzu, ila tukishindwa Analo
Wewe utapata nini wakati yeye akitimuliwa analipwa chakeKwa sasa tumetulia tu tunamwangalia kocha anavyojikanyaga, ila Tukishindwa kufuzu Afcon ndo tutatoka sasa kusema " Tulijua tu".
Yaan kocha aombe tufuzu, ila tukishindwa Analo
0🤣🤣🤣Ataongea na wa algeria wenzie 😂😂
Una timu ya kumfunga Algeria nyumbani kwao!?Kwa sasa tumetulia tu tunamwangalia kocha anavyojikanyaga, ila Tukishindwa kufuzu Afcon ndo tutatoka sasa kusema " Tulijua tu".
Yaan kocha aombe tufuzu, ila tukishindwa Analo
Mafumbo ya nini, hao wachezaji wako unaowataka mbona waliitwa kwenye mechi ya Marudiano na Uganda tukafungwa. Tukifungwa tumefungwa tu, hao wachezaji wako kawaambie waongeze juhudi.Kwa sasa tumetulia tu tunamwangalia kocha anavyojikanyaga, ila Tukishindwa kufuzu Afcon ndo tutatoka sasa kusema " Tulijua tu".
Yaan kocha aombe tufuzu, ila tukishindwa Analo
Mechi lini!?Una timu ya kumfunga Algeria nyumbani kwao!?
Kama ambavyo Yanga wakishinda, utasikia wamekutana na vibonde..!! haya ni maneno ya baada ya mechi.Kwa sasa tumetulia tu tunamwangalia kocha anavyojikanyaga, ila Tukishindwa kufuzu Afcon ndo tutatoka sasa kusema " Tulijua tu".
Yaan kocha aombe tufuzu, ila tukishindwa Analo
Wiki ijayo..Mechi lini!?
Kufuzu Afcon haiwezekani mkuu, algeria hatuwezi pata sare kwake, na wale jamaa waliahidi kulipiza kisasikwa yale tuliyowafanyia dar, uganda afcon kiulaiiiiniKwa sasa tumetulia tu tunamwangalia kocha anavyojikanyaga, ila Tukishindwa kufuzu Afcon ndo tutatoka sasa kusema " Tulijua tu".
Yaan kocha aombe tufuzu, ila tukishindwa Analo
Polen mnoKwa sasa tumetulia tu tunamwangalia kocha anavyojikanyaga, ila Tukishindwa kufuzu Afcon ndo tutatoka sasa kusema " Tulijua tu".
Yaan kocha aombe tufuzu, ila tukishindwa Analo
Ilikuwa janaMechi lini!?
Matusi mmeyahifadhi mifukoni na kwenye soksi, haya Rudini nayo kwenuKwa sasa tumetulia tu tunamwangalia kocha anavyojikanyaga, ila Tukishindwa kufuzu Afcon ndo tutatoka sasa kusema " Tulijua tu".
Yaan kocha aombe tufuzu, ila tukishindwa Analo