Tupo wengi tuliojiandaa kusema " Tulijua tu"

PSEUDOPODIA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2020
Posts
392
Reaction score
798
Kwa sasa tumetulia tu tunamwangalia kocha anavyojikanyaga, ila Tukishindwa kufuzu Afcon ndo tutatoka sasa kusema " Tulijua tu".

Yaan kocha aombe tufuzu, ila tukishindwa Analo
 
Mafumbo ya nini, hao wachezaji wako unaowataka mbona waliitwa kwenye mechi ya Marudiano na Uganda tukafungwa. Tukifungwa tumefungwa tu, hao wachezaji wako kawaambie waongeze juhudi.
 
Kwa sasa tumetulia tu tunamwangalia kocha anavyojikanyaga, ila Tukishindwa kufuzu Afcon ndo tutatoka sasa kusema " Tulijua tu".

Yaan kocha aombe tufuzu, ila tukishindwa Analo
Kama ambavyo Yanga wakishinda, utasikia wamekutana na vibonde..!! haya ni maneno ya baada ya mechi.
 
Kwa sasa tumetulia tu tunamwangalia kocha anavyojikanyaga, ila Tukishindwa kufuzu Afcon ndo tutatoka sasa kusema " Tulijua tu".

Yaan kocha aombe tufuzu, ila tukishindwa Analo
Kufuzu Afcon haiwezekani mkuu, algeria hatuwezi pata sare kwake, na wale jamaa waliahidi kulipiza kisasikwa yale tuliyowafanyia dar, uganda afcon kiulaiiiini
 
Back
Top Bottom