Kila la kheriKwanza sijawahi kuwa mfuasi wa ccm hata siku moja, wala Cdm, nilishaamua kuwa mtanzania mzalendo,
Nilimuunga mkono baba Askofu magufuli kwa sababu alionyesha uzalendo,
Sasa nimemdharau na sitamuunga mkono na ntafanya kampeni kubwa kwa njia yyte kuwaonyesha waislamu wenzangu dhulma wanayofanyiwa na huyu Askofu mpya anaitwa magufuli
Basi huyu jamaa atakuwa sio mzima.Cheo ampe nani? Huyu anashinda pale malapa in kila siku hata kula yake ni shida!
Mkuu kinacho muhangaisha ni kutafuta mkono kwenda kinywani bila ya kutumia ubongoBasi huyu jamaa atakuwa sio mzima.
Malefu?Hakika najivunia kumpa kura yangu huyu kamanda wa ukweli.
Mungu amtangulie na ampe maisha malefu yeye, na familia yake kwa ujumla
Teeeeeeh teeeeeh, mkuu Abunuas ebu punguza masiharahivi na wewe upo kwenye ile payroll ya wale vijana 50 aliosema Kikwete pale uwanja wa namfua singida? hujaukwaa ukuu wa mkoa nini? kama bado subiri wa wilaya unakuja. ukikosa hawa wa tarafa au kata sio haba.
Hivi bado watu wanawaza dini na udini? Inawezekana tuna safari ndefu kuliko tunavyofikiri.Kila la kheri
mkuu unamaanishi kuwa muheshimiwa sana amekuwa akiteua viongozi wa kigango badala ya wakitaifa?Siungi mkono kabisa hoja yako, japo nilishiriki kikamilifu kwenye kampeni kumtetea baba Askofu magufuli,
Lakini kwa serikali aliyounda sina imani nae, na tutarajie mgogoro mkubwa kuibuka nchini wa kidini au ukanda
napingana na kila aina ya ubaguzi, uwe wa kidini, kirangi, kikanda, kikabila au vyovyote vile iwavyo. kwa hiyo kama magufuli anapita kwenye mstari mmojawapo wa hiyo nitampinga tu maana hamna namna.Hivi bado watu wanawaza dini na udini? Inawezekana tuna safari ndefu kuliko tunavyofikiri.
mmh...kama ndio hiv tunapiga kura za nn sasa wakati hawana msaada wowote kw maisha yetuUchaguzi umekwisha jamani.Hangaikeni na maisha yenu na familia zenu walioteuliwa hawakusaidii chochote ktk maisha yako.
Wenye kuwaza udini, ukabila, ukanda, rangi na 50-50 endeleeni. Wengine tunaangalia kama anatimiza wajibu kwa kuleta maendeleo kwa jamii yote ya wa Tanzania.napingana na kila aina ya ubaguzi, uwe wa kidini, kirangi, kikanda, kikabila au vyovyote vile iwavyo. kwa hiyo kama magufuli anapita kwenye mstari mmojawapo wa hiyo nitampinga tu maana hamna namna.
kule USA jana walimuanzishia donald trumph na mkutano wake hakufanya. UBAGUZI HAUKUBALIKI POPOTE PALE HATA KAMA NI usa KWENYE DUNIA HII YA LEO.
Kweli mkuu njaa ni mbaya sana Na huyu jamaa njaa itakuwa ndio ugonjwa wake.Mkuu kinacho muhangaisha ni kutafuta mkono kwenda kinywani bila ya kutumia ubongo
Umeonaeeeeee?Kweli mkuu njaa ni mbaya sana Na huyu jamaa njaa itakuwa ndio ugonjwa wake.
Huyu jamaa anataka acheze style ya makonda ili alithi ukuu wa wilaya. Alio uacha makonda.Umeonaeeeeee?
Kwakweli wote tuliompigia kura magufuli tumefanya jambo la kishujaa sana kwa taifa letu na tunahitaji pongezi.
Kwa niaba yangu binafsi, ninawashukuru sana na kuwaombea maisha marefu kwani taifa linahitaji watu wenye maono kama nyie.
Kitendo cha kuona kua Magufuli ni mtu sahihi wa kuliongoza Taifa, kuliko lile kundi la upande wa pili, ni kiashirio cha uzalendo uliotukuka.
Ingawa sio rahisi kuwatanbua kwa majina au kuwapa medali wote lakini Magufuli anawashukuruni kwa kutumbua mafisadi wote ili Uchumi wa nchi ukue na hatimaye sote tuone fahari kuwa katika nchi inayoitwa Tanzania.
Basi kwa kua tumeshafanya jambo moja la kishujaa sana basi si vibaya kufanya na hili kushiriki kikamilifu kulijenga Taifa letu kwa kufanya kazi ipasavyo nakuhakikisha kua Majipi mengine hayapati nafsi kuturudisha tena nyuma.
Hongereni sana na Taifa linawashukuru kwa uzalendo wenu.
Mchukue mmeo mwende kwa mamamuuza akupimie 4finger mpongezane na mumeoKwakweli wote tuliompigia kura magufuli tumefanya jambo la kishujaa sana kwa taifa letu na tunahitaji pongezi.
Kwa niaba yangu binafsi, ninawashukuru sana na kuwaombea maisha marefu kwani taifa linahitaji watu wenye maono kama nyie.
Kitendo cha kuona kua Magufuli ni mtu sahihi wa kuliongoza Taifa, kuliko lile kundi la upande wa pili, ni kiashirio cha uzalendo uliotukuka.
Ingawa sio rahisi kuwatanbua kwa majina au kuwapa medali wote lakini Magufuli anawashukuruni kwa kutumbua mafisadi wote ili Uchumi wa nchi ukue na hatimaye sote tuone fahari kuwa katika nchi inayoitwa Tanzania.
Basi kwa kua tumeshafanya jambo moja la kishujaa sana basi si vibaya kufanya na hili kushiriki kikamilifu kulijenga Taifa letu kwa kufanya kazi ipasavyo nakuhakikisha kua Majipi mengine hayapati nafsi kuturudisha tena nyuma.
Hongereni sana na Taifa linawashukuru kwa uzalendo wenu.
Hizi ni effects za kikao cha mwanza, maana mlivyomaliza uchaguzi mkaenda chemba kuhesabu shanga kama kawaida yenu, naona mimba tayari, hongera utaitwa mama mda sio mrefu..Mchukue mmeo mwende kwa mamamuuza akupimie 4finger mpongezane na mumeo
Naona stroke imekuingia kwenye ubongo wakoUmeishiwa hoja umegeuka futuhi