Tupongezane wote tuliompigia kura Magufuli

Tupongezane wote tuliompigia kura Magufuli

Kwanza sijawahi kuwa mfuasi wa ccm hata siku moja, wala Cdm, nilishaamua kuwa mtanzania mzalendo,
Nilimuunga mkono baba Askofu magufuli kwa sababu alionyesha uzalendo,
Sasa nimemdharau na sitamuunga mkono na ntafanya kampeni kubwa kwa njia yyte kuwaonyesha waislamu wenzangu dhulma wanayofanyiwa na huyu Askofu mpya anaitwa magufuli
Kila la kheri
 
hivi na wewe upo kwenye ile payroll ya wale vijana 50 aliosema Kikwete pale uwanja wa namfua singida? hujaukwaa ukuu wa mkoa nini? kama bado subiri wa wilaya unakuja. ukikosa hawa wa tarafa au kata sio haba.
Teeeeeeh teeeeeh, mkuu Abunuas ebu punguza masihara
 
Siungi mkono kabisa hoja yako, japo nilishiriki kikamilifu kwenye kampeni kumtetea baba Askofu magufuli,
Lakini kwa serikali aliyounda sina imani nae, na tutarajie mgogoro mkubwa kuibuka nchini wa kidini au ukanda
mkuu unamaanishi kuwa muheshimiwa sana amekuwa akiteua viongozi wa kigango badala ya wakitaifa?
 
Hivi bado watu wanawaza dini na udini? Inawezekana tuna safari ndefu kuliko tunavyofikiri.
napingana na kila aina ya ubaguzi, uwe wa kidini, kirangi, kikanda, kikabila au vyovyote vile iwavyo. kwa hiyo kama magufuli anapita kwenye mstari mmojawapo wa hiyo nitampinga tu maana hamna namna.
kule USA jana walimuanzishia donald trumph na mkutano wake hakufanya. UBAGUZI HAUKUBALIKI POPOTE PALE HATA KAMA NI usa KWENYE DUNIA HII YA LEO.
 
Uchaguzi umekwisha jamani.Hangaikeni na maisha yenu na familia zenu walioteuliwa hawakusaidii chochote ktk maisha yako.
mmh...kama ndio hiv tunapiga kura za nn sasa wakati hawana msaada wowote kw maisha yetu
 
ITV leo saa 3:00 kipindi maalum.....sikiliza watu na maoni yao
 
napingana na kila aina ya ubaguzi, uwe wa kidini, kirangi, kikanda, kikabila au vyovyote vile iwavyo. kwa hiyo kama magufuli anapita kwenye mstari mmojawapo wa hiyo nitampinga tu maana hamna namna.
kule USA jana walimuanzishia donald trumph na mkutano wake hakufanya. UBAGUZI HAUKUBALIKI POPOTE PALE HATA KAMA NI usa KWENYE DUNIA HII YA LEO.
Wenye kuwaza udini, ukabila, ukanda, rangi na 50-50 endeleeni. Wengine tunaangalia kama anatimiza wajibu kwa kuleta maendeleo kwa jamii yote ya wa Tanzania.
 
Kwakweli wote tuliompigia kura magufuli tumefanya jambo la kishujaa sana kwa taifa letu na tunahitaji pongezi.

Kwa niaba yangu binafsi, ninawashukuru sana na kuwaombea maisha marefu kwani taifa linahitaji watu wenye maono kama nyie.

Kitendo cha kuona kua Magufuli ni mtu sahihi wa kuliongoza Taifa, kuliko lile kundi la upande wa pili, ni kiashirio cha uzalendo uliotukuka.

Ingawa sio rahisi kuwatanbua kwa majina au kuwapa medali wote lakini Magufuli anawashukuruni kwa kutumbua mafisadi wote ili Uchumi wa nchi ukue na hatimaye sote tuone fahari kuwa katika nchi inayoitwa Tanzania.

Basi kwa kua tumeshafanya jambo moja la kishujaa sana basi si vibaya kufanya na hili kushiriki kikamilifu kulijenga Taifa letu kwa kufanya kazi ipasavyo nakuhakikisha kua Majipi mengine hayapati nafsi kuturudisha tena nyuma.

Hongereni sana na Taifa linawashukuru kwa uzalendo wenu.

Kuna watu walimpigia kura na sasa wanampinga. Kuna watu hawakumpigia kura lakini leo wanamkubali. Unataka hata wasiomkubali wajumuike?
 
Kwakweli wote tuliompigia kura magufuli tumefanya jambo la kishujaa sana kwa taifa letu na tunahitaji pongezi.

Kwa niaba yangu binafsi, ninawashukuru sana na kuwaombea maisha marefu kwani taifa linahitaji watu wenye maono kama nyie.

Kitendo cha kuona kua Magufuli ni mtu sahihi wa kuliongoza Taifa, kuliko lile kundi la upande wa pili, ni kiashirio cha uzalendo uliotukuka.

Ingawa sio rahisi kuwatanbua kwa majina au kuwapa medali wote lakini Magufuli anawashukuruni kwa kutumbua mafisadi wote ili Uchumi wa nchi ukue na hatimaye sote tuone fahari kuwa katika nchi inayoitwa Tanzania.

Basi kwa kua tumeshafanya jambo moja la kishujaa sana basi si vibaya kufanya na hili kushiriki kikamilifu kulijenga Taifa letu kwa kufanya kazi ipasavyo nakuhakikisha kua Majipi mengine hayapati nafsi kuturudisha tena nyuma.

Hongereni sana na Taifa linawashukuru kwa uzalendo wenu.
Mchukue mmeo mwende kwa mamamuuza akupimie 4finger mpongezane na mumeo
 
Mchukue mmeo mwende kwa mamamuuza akupimie 4finger mpongezane na mumeo
Hizi ni effects za kikao cha mwanza, maana mlivyomaliza uchaguzi mkaenda chemba kuhesabu shanga kama kawaida yenu, naona mimba tayari, hongera utaitwa mama mda sio mrefu..
 
Naona stroke imekuingia kwenye ubongo wako
Endelea kujichoresha tu mkuu, una hicho kipaji...ze comedy wana nafasi mkuu cheki nao, hapa unapoteza muda wako bure..
 
Back
Top Bottom