Tupumzike sasa sio kwa joto hili la Dar es Salaam

Tupumzike sasa sio kwa joto hili la Dar es Salaam

Fundi manyumba

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2018
Posts
3,799
Reaction score
8,063
WATAALAM WANASEMA

........TAHADHARI..... .......
Kuanzia leo saa 5:00 asubuhi: Kwa masaa 27 tutashuhudia PHENOMENON ya APHELION. Dunia itakuwa mbali sana na Jua ☀️. Hatuwezi kuona hali hiyo, lakini TUNAWEZA kuhisi athari yake. Hii itadumu hadi mwezi wa Agosti.

Tutakuwa na hali ya baridi, ZAIDI KULIKO KAWAIDA, ambayo itasababisha homa, kikohozi, shida ya kupumua, n.k. Tunapaswa kuongeza kinga kwa kula vitamini na virutubisho ili kuimarisha afya zetu. Umbali kutoka Dunia kwenda Jua ni dakika 5 za mwanga au kilomita milioni 90.

Hali ya Aphelion inatufikisha umbali wa kilomita milioni 152 kutoka Jua, yaani, 66% zaidi. Hewa itakuwa baridi, miili yetu haiko sawa na joto hili, kuna tofauti kubwa. Tunapaswa kudumisha hali zetu za afya kadri iwezekanavyo, haijalishi ikiwa ni mawingu au jua, ongezeko la baridi litakuwa sawa!!!

Wale wenzangu na mimi wa kimasihara ndo wakati wenu huu

Vijana play safe Se.x is overrated play safe kama kijana usikubali kutafuta matatizo ambayo yataharibu bajeti yako ya maisha..
Maana mtaji wetu sisi hustler ni afya ..

Sometimes you have to let nature take its course

TUJILINDE
 
Mzee maelezo yako sio ya kweli sana, Northern Hemisphere sasa hivi ni kipindi cha joto kali....Hujasikia mahujaji zaidi ya 1000 wamekufa huko Saudi Arabia kwa ajili ya joto?

Kinachotokea sasa hivi ni dunia inakua twisted, upande wa juu (North pole) unaegemea kuwa karibu na jua huku upande wa chini (South Pole) unaegemea mbali na jua

So nchi za Kaskazini mwa dunia zinakuwa lwenye kipindi cha joto(summer) wakati nchi za kusini zinakuwa katika kipindi cha baridi (winter)

Nchi za Kaskazini kama Canada, UK n.k sasa hivi ndio majira ya joto huku nchi za kusini kama South Afrika, Austarlia ikiwa ni majira ya baridi
 
Mzee maelezo yako sio ya kweli sana, North Hemisphere sasa hivi ni kipindi cha joto kali....Hujasikia mahujaji zaidi ya 1000 wamekufa huko Saudi Arabia kwa ajili ya joto?
Mkuu unajua maana ya aphelion lakini .
 
Sawa sawa mkuu...
Ila content hizo angalia general idea wee ishi nayo

Sawa 66% percent ni kiasi kikubwa sana. Truth difference ni chini ya 6% which is insignificant by anymeans kiasi cha kusababisha taharuki ya tahadhari unayoleta. Ni common occurence iliyokwisha tokea maelfu kwa maelfu na wala hatukubaini tofauti yoyote.
 
Sawa 66% percent ni kiasi kikubwa sana. Truth difference ni chini ya 6% which is insignificant by anymeans kiasi cha kusababisha taharuki ya tahadhari unayoleta. Ni common occurence iliyokwisha tokea maelfu kwa maelfu na wala hatukubaini tofauti yoyote.
Kwahiyo ni 6% na sio 66% sio mkuu.?
 
Najua, ila maelezo yako sio ya kweli, kuhusu baridi na joto

Je wewe unajua maana ya Summer na Winter, na ni nini kinachosababisha hayo kutokea?
Sasa mkuu unataka kubishana na wataalamu au ..
Alafu hayo ni mabadiliko ya hali ya hewa unapozungumzia kufa kwa watu kule makka na hii habari yangu huoni unachanganya mambo.
 
Back
Top Bottom