Tupunguze kumsifia Morrison

Tupunguze kumsifia Morrison

Taarifa ya Morisson kucheza south ni mpya kwako Poole sana mkuu
We unavuta ugoro nn,fuatilia kwanza mjadala ulikuwaje toka mwanzo hadi ukakutana na comment yangu,acha kudandia dandia hoja
 
Kukanyaga mpira huku hujakabwa eti ni ufundi, wachezaji wote walioko mtaani mpaka ligi kuu wanaweza kufanya vile.
Mtu huhukumiwa kwa vitendo vyake, si kwa uwezo wake; huhukumiwa kwa anachokitenda, si kwa anachodhaniwa atatenda.
 
Back
Top Bottom