Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 11,191
- 35,870
Tunaishia kuwabeza kulingana na uandishi wao.
Wengine ni madogo humu , hawana experiences zenu, wanaiona duniani tofauti, so anapoleta kitu, msimamoe katika kumboresha , wengine wapo katika msongo hata anavyoandika unaweza kufikiri mbumbumbu.
Na wewe pia unaeleta hoja ya kuomba msaada, kuwa open na msikivu sio tena unakuwa mjuaji sanaaa.
Nasubiria wale jamaa wa TAFUTA HELA WEWEEE😂😂
Yours truly, muisraeli wa bonyokwa, jasusi cohen.