Kwani Tz hakuna ukabila? Saivi nchi ni ya Magufuli na wasukuma wenzie
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu,
Ndiyo maana nimetoa angalizo la ukabila na ukanda. Supreme Court Kenya imefanya maamuzi ya kihistoria kukazia sheria , kanuni, taratibu na katiba zifuatwe ili chaguzi zikubalike uhalali wake
Wa-Kenya kazi nzuri ya kukomaza uchaguzi huru na Wa haki hautatimia kama matatizo sugu tajwa hapo juu ukanda / ukabila hayatapunguzwa makali.
Pia Tanzania kuna harufu za ukanda na udini kadhalika na katiba bila kusahau sheria kudharauliwa na CCM.