Tupunguze sare za ndoa!!

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
helo guys how r u?
natumaini wote nyi mko vyema kabisa....kwa wale mliokwisha oa aina shaka hapa ni kwa kuwakumbusha wale wanaotarajia kuoa jamani ndoa nyingi za sasa zimekuwa azidumu,azikai,zinakatisha tamaa kabisa
labda wengi wanafunga ndoa kwa sababu tofauti na kujikuta aliekuwa nae si wake baada ya ndoa....
ni wakati wako wewe unaetarajia kuoa keshokutwa muda bado unao..usioe just kama unavaa sare za ndoa...oa mke.mume uliepewa na MUNGU mkiwa na sababu muhimu.....

si wakati wa kufnga ndoa just john kao jana ,andrew anaoa jumapili,sheila mwezi wakumi mmh na mimi lazima mwezi wa kumina mbili..labda niwachekeshe huku tankibovu kuna jiran zangu weote vijana mmoja akaoa,tuna mazoea ya kukaa pamoja kupeana story....za maisha..jamaa alipooa he akaja akaniambia unajua nini br nami wacha mwezi ujao nikapeleke mahari na kumvisha pete mchumba wangu..uwezi amini yule mtotot wa kichaga akaenda kuvishwa pete hiyo ilikuwa mwezi january,,,jamaa ukimtajia ndoa lini tena kaka anakwambia polepole,,,heri huyu alietaka kukimbilia haraka akashtuka..so usiogope kile ni kifungo ch maisha br n sis,ukiona hali ngumu hata ijumaa tandika daluga waachie ujumbe jamani kutokana na sababu hii na ile sitoweza kufunga ndoA,...mungu atakuheshimu zaidi kwanza kwa kujilinda na kumlinda yule bint ambae akuwa wako

Nakumbushia tuache kuvaa sare za ndoa..usioe just natakiwa kuoa umri umeenda,ama naina ameolewa lazima ntafute namiwangu weeee utakutana na kima mbaya nae atakwambia nilikuwa natafuta wa kufanananami nahisi ni wewe ukiingia ndani penalt unacheza mwenye..unashangilia mwenyewe nakama unafungwa unalia mwenyewe uko ndani sie atupo tena
 
kweli kabisa
bt ni km kamali sam taim huwez jua.....labda ndyo labda siyo...MAOMBI YANAHITAJIKA ZAIDI KATIKA JAMBO ILI
UKIMSHIRIKISHA MUNGU yote yatakuwa ya furaha na aman!!!
 
Kama hapa naona kaka mmoja anahaha kuoa kisa marafiki zake wote wameoa ..
hapa anatafuta tatizo ndani ya tatizo
 


sasa wewe Pdidy hujui kuwa waanaume wengine hii ndo strategy yao wanayotumia kumega hawa wadada, kwani ukiwatangazia ndoa tu wanakuwa kama wamepagawa kwa furaha!mzee unamega kiulaiiiiiini kisha unasepa!Acha kuuza siri za ofisi nje banaaaaaaaa!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…