CPA JF-Expert Member Joined Mar 1, 2011 Posts 809 Reaction score 354 Apr 22, 2018 #1 Turbo power ya gari inavujisha oil na kupandisha kwenye engine...je inaweza kurekebishika au ndio imekufa itolewe iwekwe nyingine? Je unaweza kutoa/ku-disconnect turbo na engine ya gari ikaendelea kufanya kazo?
Turbo power ya gari inavujisha oil na kupandisha kwenye engine...je inaweza kurekebishika au ndio imekufa itolewe iwekwe nyingine? Je unaweza kutoa/ku-disconnect turbo na engine ya gari ikaendelea kufanya kazo?
D domopana Member Joined Jul 29, 2017 Posts 17 Reaction score 6 Apr 22, 2018 #2 hiyo ishakufa,hapo maanake imeua zile panga za ndani au inadag,turbo haiwezi tengenezeka.nunua nyingine kuepuka usumbufu
hiyo ishakufa,hapo maanake imeua zile panga za ndani au inadag,turbo haiwezi tengenezeka.nunua nyingine kuepuka usumbufu
CPA JF-Expert Member Joined Mar 1, 2011 Posts 809 Reaction score 354 Apr 22, 2018 Thread starter #3 domopana said: hiyo ishakufa,hapo maanake imeua zile panga za ndani au inadag,turbo haiwezi tengenezeka.nunua nyingine kuepuka usumbufu Click to expand... Shukran..vp naweza kutoa turbo, na gar likafanya kazi au haiwezekani?
domopana said: hiyo ishakufa,hapo maanake imeua zile panga za ndani au inadag,turbo haiwezi tengenezeka.nunua nyingine kuepuka usumbufu Click to expand... Shukran..vp naweza kutoa turbo, na gar likafanya kazi au haiwezekani?
D domopana Member Joined Jul 29, 2017 Posts 17 Reaction score 6 Apr 22, 2018 #4 itakuwa haina nguvu na itatoa moshi mwingi sana.ni aina gani ya gari??
stickvibration JF-Expert Member Joined Feb 7, 2017 Posts 3,226 Reaction score 5,147 Apr 22, 2018 #5 CPA said: Shukran..vp naweza kutoa turbo, na gar likafanya kazi au haiwezekani? Click to expand... Ndio utaimaliza kabisa engine Ipaki tu kwanza hio gari siku ukipata nguvu nunua turbo ingine uweke
CPA said: Shukran..vp naweza kutoa turbo, na gar likafanya kazi au haiwezekani? Click to expand... Ndio utaimaliza kabisa engine Ipaki tu kwanza hio gari siku ukipata nguvu nunua turbo ingine uweke
CPA JF-Expert Member Joined Mar 1, 2011 Posts 809 Reaction score 354 Apr 22, 2018 Thread starter #6 domopana said: itakuwa haina nguvu na itatoa moshi mwingi sana.ni aina gani ya gari?? Click to expand... Toyota Hilux 1KZ
domopana said: itakuwa haina nguvu na itatoa moshi mwingi sana.ni aina gani ya gari?? Click to expand... Toyota Hilux 1KZ
Shuleless JF-Expert Member Joined Aug 12, 2015 Posts 4,957 Reaction score 6,221 Apr 23, 2018 #7 CPA said: Shukran..vp naweza kutoa turbo, na gar likafanya kazi au haiwezekani? Click to expand... Unatoa tu ila kuna cost utaingia kidogo. Nenda gtptz watakutengenezea.
CPA said: Shukran..vp naweza kutoa turbo, na gar likafanya kazi au haiwezekani? Click to expand... Unatoa tu ila kuna cost utaingia kidogo. Nenda gtptz watakutengenezea.