Turbo inapandisha oil kwenye engine

Turbo inapandisha oil kwenye engine

CPA

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2011
Posts
809
Reaction score
354
Turbo power ya gari inavujisha oil na kupandisha kwenye engine...je inaweza kurekebishika au ndio imekufa itolewe iwekwe nyingine?

Je unaweza kutoa/ku-disconnect turbo na engine ya gari ikaendelea kufanya kazo?
 
hiyo ishakufa,hapo maanake imeua zile panga za ndani au inadag,turbo haiwezi tengenezeka.nunua nyingine kuepuka usumbufu
 
hiyo ishakufa,hapo maanake imeua zile panga za ndani au inadag,turbo haiwezi tengenezeka.nunua nyingine kuepuka usumbufu
Shukran..vp naweza kutoa turbo, na gar likafanya kazi au haiwezekani?
 
itakuwa haina nguvu na itatoa moshi mwingi sana.ni aina gani ya gari??
 
Back
Top Bottom