lukelo sakafu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 2,938
- 517
hivi davido alivyosema kuwa wanamziki wetu wamekua wakifanya cheating ili kujipatia tuzo mbalimbali za africa alimaanisha nini?
wakuu hapa sijataja jina la msanii yoyote wa bongo, mbona mnanishambulia kwa hisia zenu tu!