Turejee kauli ya davido

Turejee kauli ya davido

lukelo sakafu

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2015
Posts
2,938
Reaction score
517
hivi davido alivyosema kuwa wanamziki wetu wamekua wakifanya cheating ili kujipatia tuzo mbalimbali za africa alimaanisha nini?
 
Wanacheat nini?
Na wapi alisema wanamuziki wetu wanacheat ili kupta tuzo?

Tupe source mkuu!
 
Siyo kila mtu awe muanzisha uzi mkuu.... uzi haueleweki,uzi haujashiba taarifa za msingi.

Usifikirie mi sipendi kuanzisha uzi napenda sana, sema nahofu ntaanzisha Uzi kama huu.
 
umeshapangiwa kituo cha kazi ualimu??
 
wakuu hapa sijataja jina la msanii yoyote wa bongo, mbona mnanishambulia kwa hisia zenu tu!
 
Waqt davido anatoa kauli hiyo ni mwanamuziki gani wa tanzania alichukua tuzo? tuanzie hapo ndg floor (sakafu ).
 
Namtangaza rasmi mkuu lukelo sakafu kuwa bogus of the time wa jf. Mada zake za hovyo sana.
 
Back
Top Bottom