Iconoclastes
JF-Expert Member
- May 26, 2014
- 4,091
- 2,511
Kwani hujamwelewa? Acheni hizo.Nakushauri utumie lugha ya taifa ili tukuelewe...
S/he's made a very valid point, the imperfect grammar doesnt really matter.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani hujamwelewa? Acheni hizo.Nakushauri utumie lugha ya taifa ili tukuelewe...
Wakenya si mkubali tuu hamkucheza kamali yenu ya SGR nzuri. Mchina kaweka hesabu mezani, wazee wakasema "eh, hiyo tosha...!!!" wakakunja kilicho chao, wakasepa. Hakuna tenda wala nini, ni deli tuu mwanzo mwisho.
mkuu una maneno makali!Wazee walisema ukimfuata ndovu utachana msamba, skliza wimbo wa Darasa, mwache huo mzuka wa kuruka reggae kwenye blues. Huu mchezo hautaki ukurupukaji.
Wazee walisema ukimfuata ndovu utachana msamba, skliza wimbo wa Darasa, mwache huo mzuka wa kuruka reggae kwenye blues. Huu mchezo hautaki ukurupukaji.



Darassa [emoji817][emoji817][emoji817]Wazee walisema ukimfuata ndovu utachana msamba, skliza wimbo wa Darasa, mwache huo mzuka wa kuruka reggae kwenye blues. Huu mchezo hautaki ukurupukaji.
Why all this hustle while you have a well admired mother tongue!?And I don't know why magufuli cancell it while the firm was already under construction now I get why our former president say that ""to be good leader is continuing doing good thing that your were left with and not to crush every good things"" magu should leave it's and let construction going on.....
Mturuki keshakubali to fund! .If the contract goes to Turkish firm the government will have to seek fresh financing.
Aisee "wajukuu" wa nyerere wanachomana visu.Mturuki keshakubali to fund! .
P.
Mchina atulieMturuki keshakubali to fund! .
P.
Mhh katuambia ukweli lkn inauma[emoji21] [emoji22] [emoji21]mkuu una maneno makali!
yanachoma kama pasi
Cha ajabu mchina ndio amejenga reli ya mturuku. Lakini ngoja tutafute better deal who knows. Mchina tumesha mpa Tazara mpaka management structure tumebadilisha ili ajenge na kuiendesha.Mturuki keshakubali to fund! .
P.
hicho kiswahili kimenipitaWazee walisema ukimfuata ndovu utachana msamba, skliza wimbo wa Darasa, mwache huo mzuka wa kuruka reggae kwenye blues. Huu mchezo hautaki ukurupukaji.
All is good thenMturuki keshakubali to fund! .
P.
Turkey is funding 400KM ONLY.Mturuki keshakubali to fund! .
P.