Turkey, China caught up in SGR tender confusion

Wakenya si mkubali tuu hamkucheza kamali yenu ya SGR nzuri. Mchina kaweka hesabu mezani, wazee wakasema "eh, hiyo tosha...!!!" wakakunja kilicho chao, wakasepa. Hakuna tenda wala nini, ni deli tuu mwanzo mwisho.

Wazee walisema ukimfuata ndovu utachana msamba, skliza wimbo wa Darasa, mwache huo mzuka wa kuruka reggae kwenye blues. Huu mchezo hautaki ukurupukaji.
 
Wazee walisema ukimfuata ndovu utachana msamba, skliza wimbo wa Darasa, mwache huo mzuka wa kuruka reggae kwenye blues. Huu mchezo hautaki ukurupukaji.

Hahahaha na nyinyi ....sio simba, sio chui, sio mamba .... Eheeee
tuna wachambuwa kama Karanga .... Uwiiiiii
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hongereni Wakenya ,sisi bado tunaendelea kubana matumizi na kutumbua majipu, yakipona tunayarudisha.
 
Wazee walisema ukimfuata ndovu utachana msamba, skliza wimbo wa Darasa, mwache huo mzuka wa kuruka reggae kwenye blues. Huu mchezo hautaki ukurupukaji.
Darassa [emoji817][emoji817][emoji817]
 
Why all this hustle while you have a well admired mother tongue!?
 
Wabongo mwafurahisha kweli. Kila siku humu mwatupigia kelele vile nyinyi ma Wachina ni mandugu. Mturuki akija siku moja mshamtoka mchina wenu. Kikwetu huwa twasema msichana asiye na mazoea ya kutongozwa atatongozwa na sokwe akubali.
 
Wazee walisema ukimfuata ndovu utachana msamba, skliza wimbo wa Darasa, mwache huo mzuka wa kuruka reggae kwenye blues. Huu mchezo hautaki ukurupukaji.
hicho kiswahili kimenipita
 
he! hii sio mchezo ..."The Tanzania-Zambia Railway (Tazara) which was built in 1975 is yet to return a profit.". tulilaaniwa kabisa waafrica, management zero, maintanance naught, engineering knowledge zero, economy nunge, progress nada! lessons learnt from past mistakes zilch!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…