Turkey President In Tanzania Updates

In Tz, we have no malaise as Kenyans

Sent from my GT-N7100 using JamiiForums mobile app

Hivi Kenya kwa hizi taarifa zenu wapi na wapi. Sielewi mbona mnajitekenya hivi na kutokujiamini. Mngewataarifu Watanzania kwenye taarifa zenu za hoja mchanganyiko ili wengi mpate jinsi ya kujadili ujio wa huyu kiongozi. Sasa mumekimbilia kuzileta humu mnategemea Wakenya tuwasaidie kujadili au vipi.

Mnamnyang'anya Mchina mradi na kumpokeza Mturuki, hayo ndio mambo mnafaa kuyajadili na sio kuhangaika na Kenya. Sisi tayari tunakamilisha SGR yetu hivyo hatuna muda wa kupoteza.
 
Kama unahasira jinyonge. Kama hutaki acha.
 
Hahahahaa wonder shall never end especially when kibera citizen tries to put Trump position in trouble and he thinks he can succeed hahaha kweli Kenya leo wamethihirisha ni namna gani walivyo empty
Watu kule hawana hata vyoo
Wanaishi kama motoni
Ajabu
Wanajua kuandamana kwa yasiyo wahusu
Yanayo wahusu hawayaoni!!!
Kuna muda unaweza kulaani kunyimwa aibu na mwenyezi mungu du;!!!!
 
Kenya ni noma wliwashtaki Islail kwa kumuua Yesu, pia wakatusaidi Tanzania kuwashtaki Korea Kaskazini kwa kutusababishia tetemeko leo hawamtaki Trump. Kenya kweli hamnazo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Tumeogopa asije tufanyia
Yale aliyo wafanyia
Mnaletewa Mitungi ya chang'aa kuwa ni treni za kisasa!!!

Pia Kenyan forums ni JF
Hakuna mipaka
 
Kwetu sisi ni ya kawaida hayo, mara nyengine hata marais wengine hua hawafiki kwa news headlines za kenya wanapokuja huku, wakiwa na bahati wanawekwa in "other news round up".... wengine tunabaki kuwaona tu kwa picha za FB.....

anyway, huyo wa turkey alishakuja na bibi yake huku

regesheni mada kwa tanzanian section, nothng to see here

Kuja mara ya kwanza sio tatizo, kinacho jali ni mtu kuona opportunity na kuifuata. Mbona hata sisi tulipata marais watatu USA Clinton, Bush, Obama wakati Kenya alikuwa hajaja hata mmoja.

Kuja mara ya kwanza sio tatizo, kinacho jali ni mtu kuona opportunity na kuifuata. Mbona hata sisi tulipata marais watatu USA Clinton, Bush, Obama wakati Kenya alikuwa hajaja hata mmoja.

Hahahah! Mwanzi we huwa unajua mambo lakini hivi leo umechemsha!!!

President Franklin D. Roosevelt was in Kenya for six months, owned a farm in Kirinyaga, stayed in Kenya

Hahahah! Mwanzi we huwa unajua mambo lakini hivi leo umechemsha!!!

President Franklin D. Roosevelt was in Kenya for six months, owned a farm in Kirinyaga, stayed in Kenya

Wanjala, sasa mbona tunashemsha wote? Hivi president Roosevelt alipokuja Kenya alikuka kwenye nchi ya waafrica weusi au alikuka kwa Kenya ya wazungu. His Presidency was in 30's and 40's, walikuwa hawajali hata watu weusi wa nchini kwao let alone watu weusi wa Kenya. President Roosevelt doesn't count here my friend, tunajali aliekuja wakati Africa inajitawala yenyewe.
 
Nonsense
 
Hahahah! Mwanzi we huwa unajua mambo lakini hivi leo umechemsha!!!

President Franklin D. Roosevelt was in Kenya for six months, owned a farm in Kirinyaga, stayed in Kenya

Huwa nachukia haya mashindano ya kitoto. ..nyie wote ni waafrika tena East Africa. ..tuangalie maendeleo tu...duh! Who cares. ..tunachojali ni MAENDELEO TU PERIOD. ..Afanalek!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…