MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Hivi Kenya kwa hizi taarifa zenu wapi na wapi. Sielewi mbona mnajitekenya hivi na kutokujiamini. Mngewataarifu Watanzania kwenye taarifa zenu za hoja mchanganyiko ili wengi mpate jinsi ya kujadili ujio wa huyu kiongozi. Sasa mumekimbilia kuzileta humu mnategemea Wakenya tuwasaidie kujadili au vipi.
Mnamnyang'anya Mchina mradi na kumpokeza Mturuki, hayo ndio mambo mnafaa kuyajadili na sio kuhangaika na Kenya. Sisi tayari tunakamilisha SGR yetu hivyo hatuna muda wa kupoteza.