contagious
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 528
- 344
Mbadala bomba kabisa wa Pilau,
Chakula kitamu cha kuridhisha familia nzima, karibuni sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbadala bomba kabisa wa Pilau,View attachment 404030 Chakula kitamu cha kuridhisha familia nzima, karibuni sana.
It was very Tastefully!Damn!
That looks uber delectable!
Nitaipikia family yangu next week [emoji39][emoji39]Nilichemsha nyama, nyama hiyo niliiweka chumvi na tangawizi, ilipoiva niliiweka pembeni, nikatenga nyama na supu, nikakaanga vitunguu kama vile ambavyo wanatayarisha kwenye biryani, nilikatakata hoho, karoti na nyanya na kuweka kwenye bakuli moja, nilikuwa na pakti tatu za manjano (turmeric powder) huku ulimwengu nilipo wanafunga pakti sh.100, na pakti 1 ya curry powder.... nilipoanza kupika nilitumia ile supu ya nyama, niliiweka jikoni nikaweka na mchele na nilinyunyizia korosho, waweza kutumia hata zabibu kavu nilitumia Basmati Rice, ile supu ilipokaukia, nikanyunyizia nazi lile tui zito, nikamimina ile manjano na Curry Powder, nikachanganya vizuri, nikahakikisha chakula chote kimechanganyika vizuri na kupata rangi, mwishoni kabla ya kufunikia tena nikamimina zile nyanya, hoho, karoti nilizokatakata na vitunguu vile nilivyokaanga mwanzoni, then unafunikia na kukadiria muda chakula chako kitaiva kabisa, kikiiva kabisa unakoroga vizuri ili vile viungo ulivyo weka pale juu vichnganyike sawasawa na pia vitakuwa havijapondeka pondeka na vitaleta muonekano mzuri, Muhimu supu utakayotumia iwe ya kutosha kulainisha mchele na nazi iwe ya kuivisha lakini visije zidi na kufanya chakula bokoboko.
Unaweza, ujue tu kukadiria maji kwenye mchele utakao utumia ili isitoke boko bokoUwiiiii nampikia mzee ila je siezi tuma mchele wa kawaida?
Thanks for appreciating!Nitaipikia family yangu next week [emoji39][emoji39]
Asante.
Mbadala bomba kabisa wa Pilau,View attachment 404030 Chakula kitamu cha kuridhisha familia nzima, karibuni sana.
Unapata kisukari kwasababu umekula wali wa nazi usio na mafuta? PoleUgonjwa wa sukari unahusu hapa.
itakuwa si viungo halisi mkuuMi nina tatizo na mchele aina aina ukiacha huu wetu wakiswahili. Mapishi yangu yote yanayohusisha mchele natumia mchele wa kawaida. Pia viungo kama turmeric vinanishinda kabisa.