jaykiwele
JF-Expert Member
- May 22, 2013
- 552
- 414
Ukisikiliza huu wimbo kuanzia mpangilio wa sauti, ala zake zilivyopigwa humo ndani,namna walivyokuwa wanapishana humo ndan Bob Marley na Lauryn Hill na namna mashairi yalivyopangiliwa humo ndani asee kwangu huu ndio wimbo bora wa muda wote ya mapenzi. Huu ni wimbo mahususi hasa kipindi hiki cha wapendanao maana inaamsha hisia za dhati.mojawapo ya wimbo bora wa mapenzi ambao mwanzo mpaka mwisho husikii tusi lolote ila inaamsha hisia.
Mnaonaje wadau upande wenu upi ndio wimbo bora wa mapenzi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnaonaje wadau upande wenu upi ndio wimbo bora wa mapenzi?
Sent using Jamii Forums mobile app