TURN YOUR LIGHTS DOWN LOW: Nyimbo bora ya muda wote ya hisia Kali za mapenzi

TURN YOUR LIGHTS DOWN LOW: Nyimbo bora ya muda wote ya hisia Kali za mapenzi

Mkuu acha tu huyu mwanamama ananikuna sana yani kama angekuwa agemate na namfikia ningeoa kabisa. Ana vocals za hatari sana. Ana nyimbo countless zote za moto sanaa sipati picha mpenzi wake anavyokula raha.

Kibongo bongo nilidhani maua sama anaweza kum mimic vizuri zaidi alianza poa na ile Let them know, akapiga Amen na Ben Pol ametisha sana ila too bad nae kahamia kwenye iokote. Sijui kwanini hatuna one drop beat za sweet reggae bongo.
Maua sama ana uwezo mkubwa Sana kuimba shida ni industry ya mziki wa bongo sasa hivi unahitaj nyimbo za namna hiyo maana ndio sehem kubwa ya wanaoingia kweny hizo concet zao Ila nadhan angepat kutotusahau na sisi tunaopenda mziki mzur aliokuwa anaufany zaman

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida kibongo bongo reggae ina mashabiki wachache kwa hiyo msanii inabidi abadilike ila kwa Maua kama angekomaa naamini angefika mbali sababu mziki sio lazima auze bongo pia naamini wabongo wangemuelewa hivyo hivyo.
 
Industry ya mziki wa bongo na mashabiki ndio wanaua mziki mzuri kwa kusapoti upumbavu.
 
Shida kibongo bongo reggae ina mashabiki wachache kwa hiyo msanii inabidi abadilike ila kwa Maua kama angekomaa naamini angefika mbali sababu mziki sio lazima auze bongo pia naamini wabongo wangemuelewa hivyo hivyo.
Dah, ndio shida yani ila Maua anajua sana yani ila mziki wake support ndogo now ameamua anatafuta pesa kwa sasa. Anaimba ilimradi tu apate pesa, na sahivi upumbavu ndio unashabikiwa nyimbo za mafumbo na mitusi tu aargh!
 
Asubuhi ndio nimeamka nao huo,

I'm sorry that you're sorry but sorry's not good enough for me baby
I'm sorry that you're sorry but sorry can't dry my tears lady
Each time we fight, you come with your same story
Now you sorry but I'm sorry 'cause I can't accept your apology.

My all time favourite song mkuu.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Something is telling me your not happy in your relationship or you gave up in a relationship (single)

Don mind me tho.

I bet ur wrong mkuu,am having a very succesfully&strong r/ship.

Ni vile tuliupenda sana huo wimbo mimi na babe though the song is not a good dedication kwa wapenzi.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kuna hii hapa sweet reggae nayo iko vizur sana , imeimbwa na RIK ROK.

i look in my eyes
and the things i survived
and i wonder
its hard to imagine
that i ever got this far
at times it was like
i was lost and the ship going under
but just like an angel
when i need you most
there you were aah ahh
hold me eeh
in your arms tonight
dont you ever let me go oooh
gonna make it through i knoow ooh
you only need to
hold me in your arms tonight
things are always coming true
and its starting with the love
i've found in you
it ain't always clear sometimes
life is unfair but don't worry
noo hhh
 
Attachments

Huu wimbo sijawahi kuukosa kakita kifaa changu chochote ambacho muziki unakaa, katika playlist yangu imo ndani ya top 10, nimependa sana verse ya mwisho jinsi mwanadada Lauryn Hill alivyoteremka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu wimbo sijawahi kuukosa kakita kifaa changu chochote ambacho muziki unakaa, katika playlist yangu imo ndani ya top 10, nimependa sana verse ya mwisho jinsi mwanadada Lauryn Hill alivyoteremka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Lauryn Hill yuko poa sana Kuna ngoma kachana mwanzo mwisho unaitwa lost one Mara ya kwanza nasikia dis song ambayo haina matusi mwanzo mwisho hebu itafute uone

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukisikiliza huu wimbo kuanzia mpangilio wa sauti, ala zake zilivyopigwa humo ndani,namna walivyokuwa wanapishana humo ndan Bob Marley na Lauryn Hill na namna mashairi yalivyopangiliwa humo ndani asee kwangu huu ndio wimbo bora wa muda wote ya mapenzi. Huu ni wimbo mahususi hasa kipindi hiki cha wapendanao maana inaamsha hisia za dhati.mojawapo ya wimbo bora wa mapenzi ambao mwanzo mpaka mwisho husikii tusi lolote ila inaamsha hisia.
Mnaonaje wadau upande wenu upi ndio wimbo bora wa mapenzi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Turn Your Lights Down Low

Bob Marley, Lauryn Hill

Turn your lights down low
And pull your window curtains
Oh, let Jah moon come shining in
Into our life again
Sayin' ooh, it's been a long, long (long, long, long, long) time
I kept this message for you, girl
But it seems I was never on time
Still I wanna get through to you, girlie
On time, on time
I want to give you some love (good, good lovin')
I want to give you some good, good lovin' (good, good lovin')
Oh I, oh I, oh I
Say, I want to give you some good, good lovin' (good, good lovin')
Turn your lights down low
Never try to resist, oh no!
Oh, let my love come tumbling in
Into our life again
Sayin' ooh, I love ya!
And I want you to know right now
I love ya!
And I want you to know right now
'Cause I that I
I want to give you some love, oh-ooh
I want to give you some good, good lovin'
Oh, I I want to give you some love
Sayin' I want to give you some good, good lovin'
Turn your lights down low, wo-oh
Never never try to resist, oh no
Ooh, let my love ooh, let my love come tumbling in
Into our life again
Oh, I want to give you some good, good lovin' (good, good lovin')

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom