Turudi Eden.

Turudi Eden.

Pa-Paa

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2024
Posts
916
Reaction score
1,363
Dinner ya Adam na Hawa.
IMG-20250131-WA0005.jpg
 
Ni kitu gani hicho mkuu, hebu tuwekee recipe.

Uko sahihi, ila ninachojua kula kiafya sio lazima ujitese, kuna mapishi matamu ambayo ni ya kiafya,

Na sio kila kitu kitamu ni kibaya kwa afya.
 
Kama hiyo ndo ilikuwa dinner yao kumbe tusiwasengenye nakuwasema vibaya kwanini walikula tunda!, maana kwa mlo huo kula tunda ilikuwa ni un kwepabo!..😅
Acha tamaa Mkuu😁
 
Back
Top Bottom