Turudi nyuma kidogo, taja somo ambalo ulikuwa hulipendi ukiwa shuleni

Turudi nyuma kidogo, taja somo ambalo ulikuwa hulipendi ukiwa shuleni

Mkogoti

TAPELI Mkubwa
Joined
May 3, 2020
Posts
2,415
Reaction score
3,924
Habari za mida hii ndugu zanguni kama kawa kama dawa, tupo tunalisongesha gurudumu la maisha na tupeane pole kwa Corona ila tujikinge na tuwakinge wengine.

Basi baada ya hayo tuamie kwenye maada hapo juu! Tiririka ni somo gani ulikuwa hulipendi toka shule ya msingi, Mimi ni mathematics aisee hapo ujanja wote mfukoni.
 
Kiswahiliii,,
Sio tuu sikulipenda, ila nilikua nalifeli sana,
Kwenye Sarufi ndio palizidi kunifanya nilichukie, Na ndio somo nilifeli mtihano wa mwisho pia.
 
Nilikuwa sipendi masomo yenye uhitaji wa kujielezea sana ikiongozwa na history
 
civics; is the study of rights and respinsibilties of citizen

sijawai kulipenda ili somo, alafu nilikua nalidharau kinoma necta nikajinyakulia F na penati yake
 
Geography O-Level, Chuo ndo ya kucheba kila Semester lazima kuwe na somo nisilolipenda. Ila Organizational Behaviour (OB) hili ni hatari sana Nyaruba akikupa mambo pale mbele. Nadhani watu wengi sana wa Mzumbe (Morogoro) wanamjua huyu na OB yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
English
Hili mpaka mwalimu alitabiri nitapata F.
hakika nilipiga C, hata wale waliokuwa vipenzi vyake ndio walipiga F.
 
Habari za mida hii ndugu zanguni kama kawa kama dawa, tupo tunalisongesha gurudumu la maisha na tupeane pole kwa Corona ila tujikinge na tuwakinge wengine.

Basi baada ya hayo tuamie kwenye maada hapo juu! Tiririka ni somo gani ulikuwa hulipendi toka shule ya msingi, Mimi ni mathematics aisee hapo ujanja wote mfukoni.
Mathematics
Gs
Airlaw
Navigation
 
Geography O-Level, Chuo ndo ya kucheba kila Semester lazima kuwe na somo nisilolipenda. Ila Organizational Behaviour (OB) hili ni hatari sana Nyaruba akikupa mambo pale mbele. Nadhani watu wengi sana wa Mzumbe (Morogoro) wanamjua huyu na OB yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyaruba hafai kabisa tena anafundisha peke yake .
Sitosahau alivyotuandikia zero ya maneno kwny test
 
Mathematics
Geography sijui ilikuwaje nikasoma advance
General studies
Labour na Administrative law
Epidemiology n biostatistics
 
[emoji16][emoji16][emoji16]
Hakuna somo lilokua gumu kwangu
Labda kuwahi Asubuhi Asubuhi Saa 11 mtu yup class ilinishindaga hii
 
Mathematics
Physics
Chemistry
Biology
🙄🙄🙄🙄
 
Back
Top Bottom