Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KiswahiliHabari za mida hii ndugu zanguni kama kawa kama dawa, tupo tunalisongesha gurudumu la maisha na tupeane pole kwa Corona ila tujikinge na tuwakinge wengine.
Basi baada ya hayo tuamie kwenye maada hapo juu! Tiririka ni somo gani ulikuwa hulipendi toka shule ya msingi, Mimi ni mathematics aisee hapo ujanja wote mfukoni.
Biology pia ina kipengele cha essayNilikuwa sipendi masomo yenye uhitaji wa kujielezea sana ikiongozwa na history