Hahah! primary mpaka chuoHesabu
Mathematics na BK
GS na hist 2
Account, Economics na Law
umesoma course gani yenye Account, Economic na Law kwa wakati mmoja?Hesabu
Mathematics na BK
GS na hist 2
Account, Economics na Law
Kwa miaka tofautiumesoma course gani yenye Account, Economic na Law kwa wakati mmoja?
Sent using Jamii Forums mobile app
MathematicsHabari za mida hii ndugu zanguni kama kawa kama dawa, tupo tunalisongesha gurudumu la maisha na tupeane pole kwa Corona ila tujikinge na tuwakinge wengine.
Basi baada ya hayo tuamie kwenye maada hapo juu! Tiririka ni somo gani ulikuwa hulipendi toka shule ya msingi, Mimi ni mathematics aisee hapo ujanja wote mfukoni.
Nyaruba hafai kabisa tena anafundisha peke yake .Geography O-Level, Chuo ndo ya kucheba kila Semester lazima kuwe na somo nisilolipenda. Ila Organizational Behaviour (OB) hili ni hatari sana Nyaruba akikupa mambo pale mbele. Nadhani watu wengi sana wa Mzumbe (Morogoro) wanamjua huyu na OB yake.
Sent using Jamii Forums mobile app