Turudi nyuma kidogo tujikumbushe waraka mzito alioutoa Lady Jaydee kwa Marehemu Ruge na Kusaga

Acheni ufala, mnanichanganya mjue?
 
Ila Ruge alikuwa na figisu, Kuna mwaka alishirikiana na mwana fa waliset show tarehe moja na show ya jide, bahati mbaya ukatokea msiba wa ngwea, jide akaahirisha na wao wakaahirisha. Baada ya msiba jide akatangaza tarehe mpya ya show na wao wakatangaza tarehe hiyo hiyo tena.
Ila jide alijaza balaa
 
Ruge alikuwa anapenda kunyenyekewa sana.
 
2013 jide anakataa 800k ya clouds miaka kumi badae 2013 Nature anakataa 500k ya wasafi. Wasanii wa bongo wanalipwa kidogo Sana ukilinganisha na hadhi waliyonayo
Labda kwa Jide ila Nature hiyo ndo hadhi yake kwa sasa.

Mwenzie Jide alivimba na anashine mpaka leo. Nature vijana wa 2000 hawamjui na ndo hao wanajaza show.

Nature utamlipaje sawa na kija Jay melody, kina Kusah nk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…